Calculation hapa zinaenda kweli au tutafute mishe zingine

Akili ya kubeti

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2021
Posts
417
Reaction score
636
Habari,
Wakuu nimemaliza Diploma na leo matokeo yametoka ya kuingia Bachelor matokeo yangu ni yafuatayo.
Semester ya kwanza nina GPA 3.0 na Supp,
Semester ya pili nina GPA 2.4 na Supp, Sasa vipi nikisapua hizo Supp mbili nikaongeza na hiyo 2.4 sifiki 3.0 au nichungulie mishe zingine za kitaa !?
 
Sasa vipi nikisapua hizo Supp mbili nikaongeza na hiyo 2.4 sifiki 3.0 au nichungulie mishe zingine za kitaa !?
Haufiki 3.0 ingia tu mtaani uanze kuuza madafu hapo utachezea 2.7 au 2.8 kwisha habari next time hakikisha haushuki chini ya 3.0 yaan iwe zaidi ya 3.0 at least piga hata 3.7 au fika mpaka 4.0 hapo uhakika
 
Achana na mambo ya kusoma komaa kitaani huko unapoteza mda tu mdogo angu na izo gpa zako
 
Kwa hapo ulipofika nadhani malizia tu mkuu upate cheti huez jua kitakusaidia wapi. Kung'oa 3.0 hapo ni uongo.
 
Malizia then ukimalizana nayo open university kuna foundation program kwa watu wasofika GPA ya 3 .
Utaisoma kma unapenda shule
 
GPA sio ishu mkuu watu wana 2.3 na wako makazini mkuu GPA haina maana kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…