Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,914
- 3,386
Team Samia Suluhu Hassan was not observed during general meeting kosa ni kuwa Chongolo umefeli kutengeneza team Mama kwenye huu uchaguzi sijui ulikua unafanya nini maybe you don't know your power au you are buzzy for nothing angalia zimebaki team lakezone inayoungwa mkono na kusini na team Msoga imebaki na costal na Zanzibar only ...that's a shame no team Mama at all.
Masalia wananguvu na wako active kuliko nyie wenye vyeo Sasa uenezi, intelligence na organization mmefeli ku nusa na ku counter check in this election mmewaachia wabunge wa Sasa kuamua na ku finance uchaguzi wa hawa viongozi wapya nchi nzima mmesahau wabunge walitokana na nini...? Na kazi yenu ilikuwa kutengeneza team Samia Suluhu Hassan.
Last haitoi uhakika wa 2025 na inamlazimisha Rais ku beg upande wenye nguvu because yeye hana upande wake na Incase ataamua ku step down what happened 2015 itatokea tena tutapata Rais from no where and surely we will do the mistake again
You have power but you don't have the brain shame in you ...
Sasa chekeaneni mtavuna mabua