Kilanga komo
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 337
- 290
60,000/=Ikiwa mpya inauzwa shilingi ngapi??kweli hali ngumu sana kama mpaka calculator inatangazwa kuuzwa JF
Ni scientific calculator sio mashine ya kujumlishia dukaniIkiwa mpya inauzwa shilingi ngapi??kweli hali ngumu sana kama mpaka calculator inatangazwa kuuzwa JF
Daa kama kweli 60000 miaka inakimbia60,000/=
acha uongo kama kuna mtu ana 20000 aje nimuelekeze pa kununua scientific calculator oroginal unaproove mwenyewe kama ni og iyo kwenye picha bei mpyaa haizidi 2000060,000/=
21th centuryDaa kama kweli 60000 miaka inakimbia
Hahah akipata "oroginal" kwa 20K niite nyauporiiacha uongo kama kuna mtu ana 20000 aje nimuelekeze pa kununua scientific calculator oroginal unaproove mwenyewe kama ni og iyo kwenye picha bei mpyaa haizidi 20000
☺️Nina 10k