ward41 JF-Expert Member Joined Apr 3, 2022 Posts 749 Reaction score 2,533 Nov 3, 2024 #1 USA ni habari Nyingine. Uchumi wa California tu unakaribiana na nchi tajiri ya Japan Hilo ni Jimbo moja tu katika majimbo 50 Ni haki Marekani kutawala dunia
USA ni habari Nyingine. Uchumi wa California tu unakaribiana na nchi tajiri ya Japan Hilo ni Jimbo moja tu katika majimbo 50 Ni haki Marekani kutawala dunia
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Nov 3, 2024 #2 Ikuruhusu akili yako ifanye kazi yote yanawezekana mtumish
john issa JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 856 Reaction score 1,638 Nov 3, 2024 #3 ward41 said: View attachment 3142751USA ni habari Nyingine. Uchumi wa California tu unakaribiana na nchi tajiri ya Japan Hilo ni Jimbo moja tu katika majimbo 50 Ni haki Marekani kutawala dunia Click to expand... Hizo takwimu Nani kaziandaa?
ward41 said: View attachment 3142751USA ni habari Nyingine. Uchumi wa California tu unakaribiana na nchi tajiri ya Japan Hilo ni Jimbo moja tu katika majimbo 50 Ni haki Marekani kutawala dunia Click to expand... Hizo takwimu Nani kaziandaa?
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 41,728 Reaction score 103,997 Nov 3, 2024 #4 Ni sawa na ushangae kwanini; "Dar Ina eneo dogo Sana kuliko Mikoa mingine Ila Ina mapato Sana kuliko Mikoa yote nchini, pamoja na nchi ya Burundi"
Ni sawa na ushangae kwanini; "Dar Ina eneo dogo Sana kuliko Mikoa mingine Ila Ina mapato Sana kuliko Mikoa yote nchini, pamoja na nchi ya Burundi"
Mi mi JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 2,748 Reaction score 5,112 Nov 4, 2024 #5 Uchumi unafanya kazi ki vipi ? Mind you Calfonia in uchumi mkubwa kuliko Russia tumia akili kujibu hili swali.
Uchumi unafanya kazi ki vipi ? Mind you Calfonia in uchumi mkubwa kuliko Russia tumia akili kujibu hili swali.