Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Diva amesema wanaume wa tanzania wananuka ndiyomaana anaomba mumchangie $7000 akapandikiziwe mimba nchi za nje kama mke wa Bashite.Diva hajaiona hii video??
Ha ha ha haDiva amesema wanaume wa tanzania wananuka ndiyomaana anaomba mumchangie $7000 akapandikiziwe mimba nchi za nje kama mke wa Bashite.
AhahaaHa ha ha ha
Kuna mahali nimepaona anasema anataka hata sperm za Neymar...
Huyu bado hajielewi huyu
Duh!!!Diva amesema wanaume wa tanzania wananuka ndiyomaana anaomba mumchangie $7000 akapandikiziwe mimba nchi za nje kama mke wa Bashite.
Hivi mshua wake ametoka jelaHa ha ha ha
Kuna mahali nimepaona anasema anataka hata sperm za Neymar...
Huyu bado hajielewi huyu
Ila anawagonga wadada si mchezo na wanamhonga vilevile...Anataka kuwa kama yule jamaa wa play boy magazine ila yeye hana pesa