MorTimer JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 1,195 Reaction score 968 Nov 14, 2016 #1 Hii ni fundisho kwa wanawake wote usiparamie Mwanaume hovyo kabla hujamjua vingenevyo muanze na system ya Kugegendwa gizani
Hii ni fundisho kwa wanawake wote usiparamie Mwanaume hovyo kabla hujamjua vingenevyo muanze na system ya Kugegendwa gizani
kamdudu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2015 Posts 2,007 Reaction score 1,931 Nov 14, 2016 #2 Bwege wakati anaongea na shirawadu kwenye uheard anadai Bibi yake kafa kwa presha baada ya kuona hizo videos na picha...
Bwege wakati anaongea na shirawadu kwenye uheard anadai Bibi yake kafa kwa presha baada ya kuona hizo videos na picha...
pilato93 JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 6,296 Reaction score 6,692 Nov 14, 2016 #3 Wema kashazoea mambo hayo sema dogo anatafuta pakutokea kiki on the fkeak
Prof Kibogoyo Senior Member Joined May 31, 2016 Posts 112 Reaction score 164 Nov 14, 2016 #4 Kijana anatafuta Kiki huyu sio bure
totolito JF-Expert Member Joined Mar 16, 2016 Posts 708 Reaction score 431 Nov 14, 2016 #5 Huyu demu x alikataa juzi kati kuwa ajagegedana na huyo dogo duuuh
N ngajone JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 531 Reaction score 300 Nov 14, 2016 #6 Mlezi wa wana katika ubora wake
Mavipunda JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 7,072 Reaction score 7,891 Nov 14, 2016 #7 ngajone said: Mlezi wa wana katika ubora wake Click to expand... hondohondo
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Nov 14, 2016 #8 Ngoja nami nivujishe mapicha ya nanii...
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,600 Reaction score 35,158 Nov 14, 2016 #9 Hivi kumbe mwanaume wa dar ndo yuko ivo??? Mbona kakata nywele za machoni???
sonaderm JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 618 Reaction score 1,816 Nov 14, 2016 #10 Kwenye hizo picha inaonekana wema kashika simu..Wanapenda huo mchezo, wema asilalamike!
KWEZISHO JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,519 Reaction score 6,518 Nov 14, 2016 #11 Anavujisha au anajipa kiki? Hivi ndivyo Wema anavyovitaka!
donbeny JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 3,589 Reaction score 3,184 Nov 14, 2016 #12 sie tupo wakikua watayaacha hayo
BIN NUN JF-Expert Member Joined May 23, 2014 Posts 3,477 Reaction score 7,085 Nov 14, 2016 #13 Daah nasikiaga neno mamahuruma sijui ndo hivi wema anavogawa ama
wambeke JF-Expert Member Joined Aug 30, 2013 Posts 2,655 Reaction score 2,650 Nov 14, 2016 #14 Hiyo video iko wapi niione
Rich Pol JF-Expert Member Joined Oct 11, 2013 Posts 7,874 Reaction score 5,685 Nov 14, 2016 #15 Huyu Calisah ndiyo nani? Kwanini asitumie jina lake la halali tumtambue vizuri? ?
doama JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 808 Reaction score 650 Nov 14, 2016 #16 Wabongo bana tuna taabu sana. Tumempata madam mzuri ambaye ukilia kidogo unapewa papai then tunalalamika, sasa angekuwa anawabania mngelalamika pia. Mwacheni madam wetu bana sukari ya watoto
Wabongo bana tuna taabu sana. Tumempata madam mzuri ambaye ukilia kidogo unapewa papai then tunalalamika, sasa angekuwa anawabania mngelalamika pia. Mwacheni madam wetu bana sukari ya watoto
The Ideologist JF-Expert Member Joined Nov 11, 2012 Posts 486 Reaction score 256 Nov 14, 2016 #17 Kijana anasafisha Rungu kama wenzake waliotangulia kwenye list ya Mgao wa.................
Mauja JF-Expert Member Joined Oct 2, 2014 Posts 508 Reaction score 275 Nov 14, 2016 #18 Dahh natamani nitoke na wema niuze suraaaaa........
H Hern Member Joined Jan 9, 2015 Posts 60 Reaction score 14 Nov 14, 2016 #19 Duuh jaman! Idris njoo huku uone [emoji87]
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Nov 14, 2016 #20 KtheDon said: Duuh jaman! Idris njoo huku uone [emoji87] Click to expand... Iddy hana hamu.....