Bado hujachelewa mkuuDahh natamani nitoke na wema niuze suraaaaa........
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Iddy hana hamu.....
View attachment 434230
Huyo anatafuta kiki, Kuna siku alikuwa anahojiwa eatv, alisema hakuna mwanamke anampenda kama WemaHuyu Calisah ndiyo nani? Kwanini asitumie jina lake la halali tumtambue vizuri? ?
Kichaa huyu bila hata kumpima, amedharau jina lake alilopewa na na wazazi wake (Shija Kwirasa) anajipachika jina la bandia, analaana huyo.Huyo anatafuta kiki, Kuna siku alikuwa anahojiwa eatv, alisema hakuna mwanamke anampenda kama Wema
Kumbe ni msukuma,ila ana mambo ya kishamba sana , yaani itakuwa anatafuta kuwa celebrityKichaa huyu bila hata kumpima, amedharau jina lake alilopewa na na wazazi wake (Shija Kwirasa) anajipachika jina la bandia, analaana huyo.
una hela au Kula kwa macho tu?Dahh natamani nitoke na wema niuze suraaaaa........
Tafuta na wewe kiki kwa kumgonga wema kama unaweza?Kijana anatafuta Kiki huyu sio bure
tena ujipange sawa sawaAise huyu wema nahisi ni mimi tu sijapiga
kama sijakosea alikuwa kwenye tangazo la kingamuzi cha star timesHuyu Calisah ndiyo nani? Kwanini asitumie jina lake la halali tumtambue vizuri? ?
Hahaaa sijui hilo jina ni mfano tu.Kumbe ni msukuma,ila ana mambo ya kishamba sana , yaani itakuwa anatafuta kuwa celebrity