Kwani wewe wazazi wako walikupa jina la Rich Pol?Kichaa huyu bila hata kumpima, amedharau jina lake alilopewa na na wazazi wake (Shija Kwirasa) anajipachika jina la bandia, analaana huyo.
Namimi nishamshtukia huyu atakua hawapi kitu zidi ya izi game za kuuza sura inaelekea inamlipa sanaHii ndio biashara mpya ya wema, kuwatoa vijana! Nadhani wanamlipa vzr,
Manake bila wema, yule jamaa wa Big brother alishapotea tayar na bila ya wema huyu jamaa watu wasingemjua milele!
Aitumie vzr hii biashara yake, soon watu watamshtukia na yeye ndo itakuwa mwisho wake
kama.yuleNamim nataka nipige wema jaman ntampata wap?
yule kwenye tangazo la vodaCalisah ndio nani? Hawa mastaa wengine naweza pishana nao hata bila kujua. Tupia na picha mkuu.
Poa poa mkuu.yule kwenye tangazo la voda
wewe, wema ana 28, mbona anaonekana kama ana 35 tuwe wakweli kwenye umri jameni.Wema anahitaji maombi ya watanzania kusema kweli. Kwa umri wake 28 years kufanya haya mambo ni aibu.
nilipokua na umri wake tayari nilikua mke wa mtu na watoto wawili, very responsible na famila yangu. Anatakiwa awaangalie wenzie kina Aunty Ezekiel, Kajala, Irene Uwoya walivyotulia. yeye bado anahisi ana umri wa Gigi Money. Eehhh... Mungu sadia hiki kizazi
Uwoya huyu huyu au mwingne mkuuWema anahitaji maombi ya watanzania kusema kweli. Kwa umri wake 28 years kufanya haya mambo ni aibu.
nilipokua na umri wake tayari nilikua mke wa mtu na watoto wawili, very responsible na famila yangu. Anatakiwa awaangalie wenzie kina Aunty Ezekiel, Kajala, Irene Uwoya walivyotulia. yeye bado anahisi ana umri wa Gigi Money. Eehhh... Mungu sadia hiki kizazi
Siyo Msukuma bwana , wasukuma hatuna ujinga kama wake .Katudhalilisha sana wasukuma!! Msukuma gani anatinda nyusi!? Shenji kabisa
Msalimie mwanambitihondohondo