Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Yeye alishawahi kusema alidanganya umri wakati ule ili agombee umiss Tz....kipindi kile alikuwa na miaka 14Hv huyu wema hakui jamani? Maana nakumbuka wakati anagombea umiss Tz, mi nilikuwa form 3 hadi leo nakaribia miaka 30 na mtoto juu lkn mwenzangu bado yuko na 24 tu, dah..... Hatari sana.
Hazeeki hujamuona SAWA SAWA weweUmeua mkuu hahahaahhaahah, afu mbona huyu wema hazeeki?
Tupo wawili tu. Mimi na wewe.Aise huyu wema nahisi ni mimi tu sijapiga
Mmh sidhani km ni kweli maana ht sasa hv anaonekana umri umeenda kuliko ht mm niliezaa na ninakaribia 30 sasa.Yeye alishawahi kusema alidanganya umri wakati ule ili agombee umiss Tz....kipindi kile alikuwa na miaka 14
Tena nampa hongera kwa hicho kipaji cha kunyonyana na kila mtu, maana si kazi rahisi ht kidogo na yataka moyo wa chuma.Movie za kunyonyea mate chaaa huyu ni malaya kahaba na inawezekana anavuta bangi
Yaani anvyozidi kuzeeka ndo anazidi kanichefuaWema anahitaji maombi ya watanzania kusema kweli. Kwa umri wake 28 years kufanya haya mambo ni aibu.
nilipokua na umri wake tayari nilikua mke wa mtu na watoto wawili, very responsible na famila yangu. Anatakiwa awaangalie wenzie kina Aunty Ezekiel, Kajala, Irene Uwoya walivyotulia. yeye bado anahisi ana umri wa Gigi Money. Eehhh... Mungu sadia hiki kizazi
ni modelHuyu Calisah ndiyo nani? Kwanini asitumie jina lake la halali tumtambue vizuri? ?
Hahaha huyu Ana mapepo ama Kuna mtu kamfanya kitu mbaya haya maugomvi yake ya kila siku na kuchukua wanaume za watu heheheTena nampa hongera kwa hicho kipaji cha kunyonyana na kila mtu, maana si kazi rahisi ht kidogo na yataka moyo wa chuma.
Noma sana aisee halafu mwanamke mzima hana hata hayaAna pepo la ngono linaloambatana na umalaya uliokubuhu.
Huwa anabeba midoli wkt wenzie wanabeba watotoKuna point ataanza kukumbuka kuwa anatakiwa kuzaa na kulea familia yake lakini itakuwa too late maana atakuwa kashaanza kusalimiana shikamoo na menopause na hakuna mwanaume anayependa kuoa janamke limalaya
Hahahhaahha siku ndoa zikianza kwa kigezo cha experience, aisee huyu Hatapata shida kupata mme maana anao uzoefu wa kutosha.Bora angalau angekuwa kashazaa hata mtoto mmoja,lkn kwa sasa anafanya kugawa papuchi tu km jina lake linavosomeka anadhani ndo sifa. Atajutia sana siku zijazo.
Huwa anabeba midoli wkt wenzie wanabeba watoto
thubutuuu wa na wa dar wale vyote hivyo wataumwa tumbo,order yao chips kidogooo na yai 3,wanasistiza ;iwe rojo kaka;Tatizo wanaume wa dar ndo zao...wakisha pakia kifurushi cha mhogo mbichi,karanga mbichi,kipande cha tango,kipande cha tikiti maji akishushia na supu ya pweza!basi ndo zao hizi!
Tena siku zenyewe si nyingi na hata kama hataweza kuzaa tena angejiheshimu tu mbona Millen yeye hatawahi kuzaa lakin anafanya mambo makubwa....Bora angalau angekuwa kashazaa hata mtoto mmoja,lkn kwa sasa anafanya kugawa papuchi tu km jina lake linavosomeka anadhani ndo sifa. Atajutia sana siku zijazo.
Nyoo mbona yeye hajafa kwan alofanya si yeye afe yeyeBwege wakati anaongea na shirawadu kwenye uheard anadai Bibi yake kafa kwa presha baada ya kuona hizo videos na picha...
Duuuh umenenaMlezi wa wana katika ubora wake