CALL: Atheist, Agnostic, Humanist, Free thinker, Rationalist, Non-believer

Aren't you the same then? Defeated by your own baseless so called reasoning.
Once you start to carry that idea of turning people you become something, call it a religion maybe?

Should you be reminded the definition of atheism ? Our stand points are NOT fairy tales, we dont try to convert anyone to be an atheist everyone is born a non-beliver after all. Think.
 

Kwahiyo Unakubali zamani tulikuwa Sokwe? Hiyo Evolution imefanyaje fanyaje mpaka kukatokea mwanamke na mwanamme? Kwanini wasingekuwa wa aina moja tu?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaah... Too religious for my taste. It takes a lot of faith to believe in evolution and that's soo "unscience". That's what you rely upon, "Billiiiiions of years ago..." coz there's no proof for that.
Based on the big bang theory the universe comes from the eruption of "nothingness"(silly) and by tracking ur "ancestors" up the chain ni kwamba originally humans na viumbe vyote tulitokea kwenye non-living matter (rocks). Is that what u refer to as ur ancestors, rocks?? Evolution is the silliest religious ideology I ever heard.
Knowledge of ignorance
 
mi naona swali zuri kuuliza mungu alitokea wapi?
 
Mimi naamini mtu yeyote mwenye akili sana. . . beyond what a could Imagine lazima aamini Mungu yupo and everything is from Him and through him.

Huwezi kuniaminisha kwamba everything that exist is out of accident or whatever you might call. . .

Ukiangalia tu genetic arrangement ya creatures, man included huwez kusema zimetokea simply out of accidents and evolution bila designing power behind it.

Labda M muulize mtaalau wa mambo ya anga, nini kingetokea kama dunia ikipungua speed hata by a minute au iongeze by a minute.
Utasema na hiyo mpangilio wa dunia na system nzima ni just by accident ( kwa kuanzia hapo tu tukiachana kwanza na universe kwa mapana yake)

Kwa ufupi tu kama mtu ni mwana sayansi wa kweli na unaakili kweli ukiangalia tu kitu kimoja kimoja kwenye mazingira yako alafu kichunguze na unayoyagundua uyatathmini kwa kina lazima ukubali, vitu hivi( Ulimwengu) haupo "by accident!!"

Kama ukiendelea kuamini hivyo basi wewe ni aidha mbumbavu kabisa, au basi wewe ni mwanasisa!! ( no offence ila ni ukweli)

Na kama wewe si mwana siasa ila ni mwanasayansi unayeamini vitu vyote hivi vimeyokea "by accident" na "evolution" basi utakua unaziamini "fairy tales as real tales, na ipo siku utajiokotea pete ta bahati"
 
Well articulated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…