Call back ringtone

Pitz

Member
Joined
Feb 11, 2015
Posts
6
Reaction score
1
Naomba kuhoji, ni kwa nini hii mitandao ya simu wanatuwekea call back ringtone ambazo mwenye simu hata hana habari. Nyimbo zingine zinakera kweli unapompigia mtu harafu inaanza kuimba. Haki za wenye simu hazijaingiliwa hapa?
 
Kama ni kweli sio sawa,ila mara nyingi huwa zinakuwepo baada ya wewe kuomba HUDUMA husika.Wasiliana nao wakutoe kwenye huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…