Call for interview for various Posts in TANAPA

Call for interview for various Posts in TANAPA

Chimps

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
559
Reaction score
356
Call for interview for Internal Auditors, Accounts Assistants, Assistant Accountants, Accounts Technicians, Senior IT Analysts, IT Analysts and Park Rangers

Changamkeni wakuu
 

Attachments

Thanks for update mdau,hivi walikuwa wanahitaji watu wangapi kwenye post ya assistant accountants?
 
Naona adress za watu wa Arusha na Kilimanjaro zipo za kutosha...
 
Naona adress za watu wa Arusha na Kilimanjaro zipo za kutosha...

Unataka kutuambia nini???????????!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kumbe hilo domo lako kubwa ni kwa ajili ya kuropoka!!!!!! Mi nlifikiri ni kwa ajili ya kula chapati bila kukunja!!!!!!!. Mimi simo mimi simo iko siku nawe utakuwemo!!!!!!, vipi ushaanza kuwemo?????????!! Maana unalalamika na uwingi na adress za watu arusha na kilimanjaro!!!!
 
Thanx kwa info,ningekuwa arusha au moshi ningekuwa shortlisted

Unauliza nyanya sokoni?????!!! Eti sokoni kuna nyanya eeh?! Wakati sokoni nyanya ndio mahali pake!!!! Hama huko uliko, hamia naniiii ujionee tofauti!
 
Wakuu wengne tunatumia simu,plz tubadilishieni hyo pdf format na sie wasimu tupate udambwidambwi
 
eeh mungu heri mie niliyeingiaga magereza nipo tuli kwa sasa,sihitaji kazi nyingine!!utakuta wanataka watu 10,lakini interview watu luluki
 
Hahaha! Kwi kwi kwi! Post ya watu 10,walokuwa shortlisted 1000.
 
mkuu nimecheck jina langu na la my friend yapo ila naona wamechanganya namba si namba etu it seems kuna kahujuma ka umafia wanakafanya hawa jamaa ili kutupoteea wamastukia first class ikabidi waiharibie...
 
Back
Top Bottom