Thanks for update mdau,hivi walikuwa wanahitaji watu wangapi kwenye post ya assistant accountants?
only vichwa 10Thanks for update mdau,hivi walikuwa wanahitaji watu wangapi kwenye post ya assistant accountants?
Naona adress za watu wa Arusha na Kilimanjaro zipo za kutosha...
Thanx kwa info,ningekuwa arusha au moshi ningekuwa shortlisted