Call To All Professionals To Buy Nmb Shares Jointly


Lazydog, market analysts say the share price is beyond the Dar es Salaam Stock Exchange policy. They say the share price should not have gone beyond Sh500 to make the offer affordable to small investors. nadhani wahusika wanaweza wakalielezea vizuri zaidi.

Nadhani Twiga Cement ilikuwa TZS 455/= na TCC TZS 410/=; nk.

Kuhusu Serikali kuuza share zake, nadhani hii ni utekelezaji wa sera zake za Mageuzi ya Kiuchumi ambapo serikali inajitoa katika uendeshaji wa mashirika mbalimbali.
 

MTZ, sina uhakika kama naweza kutoa statistcs za mafanikio ya NICO, lakini najua kuwa wamekuwa wakipata gawio lao NMB sasa mwaka wa tatu. Pia wamejenga kiwanda kikubwa cha kusindika samaki Mwanza nk. NICO wana shares NMB lakini si NBC. Shareholders wa NBC ni ABSA Group 55%, The Government of the United Republic of Tanzania 30% and International Finance Corporation15%.

Tofauti iliyopo kati ya NICO na TPN ni kuwa, TPN kama Network inahamasisha members wake kujihusisha na kujiletea uwezo wa kiuchumi kwa njia mbalimbali ikiwepo kuanzisha makampuni na miradi ya pamoja nk bila TPN yenyewe kufanya miradi. Nadhani NICO, yenyewe ni Kampuni ya uwekezaji. Kama itadhihirika wazi kuwa kuna manufaa kwa TPN members kujiunga na NICO, bila ya shaka itakuwa si wazo baya kushirikiana siku za mbeleni. TPN ina mwaka mmoja tu sasa hivi.
 
Wenzangu:

Nani anayejua njia ya kupata prospectus ya hii kampuni?

Bila ya shaka mara IPO zitakapozinduliwa rasmi, information zinaweza kupatikana kutoka kwa Brokers waliosajiliwa kama Tanzania Securities; Orbit Securities; Solomon Stockbrokers; Vertex Securities; Rasilimali and CORE securities. Others are NMB and CRDB banks.
 

Ni Ushauri Mzuri Kwa Watanzania Wenye Hela Ya Kununua Hizo Hisa Na Pia Wenye Uelewa Wa Biashara Ya Hisa (lakini Wewe Hauna Uelewa)
Biashara Ya Hisa Kwa Ujumla Wake Ni Biashara Ngeni Tanzania Na Kwa Watanzania Walio Wengi Bado Hawajaielewa Kudhihiolisha Ili Ni Bale Mtu Anapofikiri Eti Akinunua Ndo Basi Amemaliza Anasahau Kuwa Inabidi Haifuatilie Kampuni Aliponunua Hisa Kwa Makini Ili Hauze Au Kununua Hisa Bale Bei Zinapobadilika Na Hivyo Kujipatia Faida.
'in Shares Business Their Need To Be A Notion That Its Where One Can Become Rich Within A Second Or Loose In Half A Second' For Those Who Know The History Can Remember What Happened In The Usa And Read To The Great Depression(1929-1933).
Dear Tanzanians The Shares Can Be Bought And Sold Over The Counter For Vibrant Stock Markets Of The Advanced Economies And For Common Stock Business In Tanzania Is Still Not Paying So Much For Some One To Depend On As A Source Of Income To Earn A Living.
 
Nashukuru kwa kutoa ufafanuzi mzuri wa biashara hiyo,nakubali ni ngeni kwetu (ie buying and selling),suala la msingi hapa ni kukumbushana na kushauriana ilivyo muhimu kushiriki katika uchumi wetu kwa njia hii kwa wale wenye uwezo. Mpaka sasa wenye kujua wanafanya biashara hii lakini ni asilimia ndogo kwa sababu wengi hawajui.

Bei yao iko juu kwa sababu wanaamini kuwa hisa zao zitauzika. Kama ulipata bahati ya kusikia mauzo ya hisa za Dahaco au Twiga cement,watu walinunua zaidi na ikabidi wengine hisa zao zipunguzwe ili wengi wapate.

Wale wenye utalaam wa biashara hii washushe vitu hapa tuvipate.
 
Elimu ya kununua na kuuza shares ni mpya Tanzania.Kama wengine walivyonenna kwamba ni watu wachache tu wanaojuwa.
Mara nyingi ukinunua shares za kampuni fulani lazima uzifualize mara kwa mara ili uone zinakwendaje. Shares nyingine zinaweza kupanda asilimia mia kwa mwaka mmoja na mwaka wa pili zikapungua kama asilimia 20.
Sasa munuzi wa shares lazima afahamu ile "max" iko wapi ili ikikaribia aweze kuuza shares zake na apate faida ama sivyo mtu anapata hasara.

Wale wanao nunua shares nyingi mara nyingi huzisambaza katika makampuni kadhaa ili kujichunga na hasara.

Watanzania wangelinufaika zaidi sana kama kampuni za kigeni zinazochima dhahabu wangeliruhusu wataznania kununua shares katika makampuni haya.
Kwa nchia hii tungeliweza kupunguza umasikini.

Mimi niko katika nchi ya EU na nina ujuzi wa kununua na kuuza shares wa miaka kama 20 hivi.
 

Tunaweza pia kuomba serikali muda angalau wa wiki moja zaidi ili asilimia kubwa ya shares hizo ziwe mikononi mwa Watanzania. Sasa ni vipi tunajiorganize katika kutimiza lengo hili?
 
Tunaweza pia kuomba serikali muda angalau wa wiki moja zaidi ili asilimia kubwa ya shares hizo ziwe mikononi mwa Watanzania. Sasa ni vipi tunajiorganize katika kutimiza lengo hili?

Mkuu, nimefanya utafiti wa awali kuna mwelekeo kuwa NMB shares zitakuwa over-subscribed, kwa hiyo wale wenye mpango wa kununua shares inabidi wajiandae haraka. Katika baadhi ya magazeti ya leo, kuna advert juu ya mauzo hayo ya NMB shares na Brockers wote wamekuwa listed. Prospectus zitatoka wakati wowote lakini mauzo rasmi yanaanza tarehe 18-08-2008.

Nimewaona moja wa Brokers juu ya Wazalendo Watanzania walioko nje ya nchi ambao wanataka kununua shares na hawako nyumbani wafanye nini? Kufuatana na utaratibu wanahitaji kutuma details zao, identity, picha mbili pamoja na contacts na kisha kutuma pesa kwenye accounts ya Broker atakayemchagua. Watakujazia fomu na kukununulia shares utakazohitaji.

TPN kwa upande mwingine, inawahamasisha wote wanaopenda kujitokeza kununua shares baada ya kujiridhisha wenyewe. Kwa wale watakaopenda, TPN inaweza kuwanunulia shares kama tu wataombwa kufanya hivyo.
 
Wakulu,

Taarifa zilizopo ni kuwa Prospectus za NMB IPO kwa ajili ya hisa za NMB zitapatikana kuanzia 18-08-2008. Tutajitahidi kupata taarifa zote muhimu na kuwaletea. Stay tuned . . .
 
BANKS GOT LETTER FROM BOT THAT THEY ARE NOT ALLOWED TO GIVE LOANS FOR NMB SHARES...BREAKING News from BOT
 
Hawa BOT Wahuni kweli,Mwanachi anatakapesa kidogo kwa ajili ya kuinuamaisha yake nwanazizuia Benki kutoa Mkopo, Lakini Visadi akiomba Pesa Ya EPA tena bila Security ananyimwa..Kweli This is Africa.....
 
Hawa BOT Wahuni kweli,Mwananchi anatakapesa kidogo kwa ajili ya kuinua maisha yake wanazizuia Benki kutoa Mikopo, Lakini Visadi akiomba Pesa Ya EPA tena bila Security ananyimwa..Kweli This is Africa.....
 
I second sanctus...

Mie nitanunua kama tena nyingi za kutosha ila siyo kwa TPN..TPN ca n die any time but mie nikifa familia yangu ,Mke na watoto wataendelea kurithi ..
 
I second sanctus...

Mie nitanunua kama tena nyingi za kutosha ila siyo kwa TPN..TPN ca n die any time but mie nikifa familia yangu ,Mke na watoto wataendelea kurithi ..

LOL - Mkuu Gembe, umenichekesha sana. TPN haitanunua shares za NMB. Inachofanya TPN ni kumobilize watu wanunuwe shares. Wale ambao kwa namna moja au nyingine hawataweza kununua kwa sababu wako nje ya nchi, au hawajui insi ya kununua nk.TPN iko tayari kuwasaidia.

TPN inachoshauri kwa wale ambao watapenda kuunganisha nguvu zao na shares zao hapo baadaye na kuanzisha makampuni kama wengine walivyofanya sasa hivi, then hiyo inakubalika.

So, in any way TPN will not do business ila ina encourage sana Wazalendo wachangamke katika kila sector.
 
This IPO will make or break the DSE. Hopefully it will inject the much needed energy in this snail paced stock exchange. I am surprised it took the bank that long to offer it's stocks publicly. This may very well be the escape velocity that the DSE needs to take it to the skies. I would like to see the encouragement and incentives of frequent IPO's from robust and reputable organizations.
 
Hawa BOT Wahuni kweli,Mwanachi anatakapesa kidogo kwa ajili ya kuinuamaisha yake nwanazizuia Benki kutoa Mkopo, Lakini Visadi akiomba Pesa Ya EPA tena bila Security ananyimwa..Kweli This is Africa.....

Lakini hizi shares si ziko kwenye kundi la Risky assets? Sio lazima kwamba hizo hisa zitapanda bei na kumnufaisha mwananchi. Zinaweza kushuka bei baada ya mfupi na kutia hasara vile vile.
 
Tunaweza pia kuomba serikali muda angalau wa wiki moja zaidi ili asilimia kubwa ya shares hizo ziwe mikononi mwa Watanzania. Sasa ni vipi tunajiorganize katika kutimiza lengo hili?

serlikali ipi unayoiongelea?kwani tanzania kuna serikali ya wananchi.....?
 


dear colleagues
labda mtu atanisaidia, last year profit was 11 billion, leta makes assuption ndo faida imepatikana this year, since we are we will be having 25% of NMB share means we will get 25% of the whole profit. 25% of 11 billion is 2.75 billion.
since we are having 105000000 shares, so the 2.75 will be divided equallt to 105000000 share and each share will be have a profit od 26.19.
this emplies i buy a share by 600 and after a year i get a return of 26.19 tsh.
what do you think is this profitable bussiness or? au kuna faida zingine, can i know them if possible?
au labda currency ya faida ni in dollars pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…