tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,414
- 1,215
Muulize!
hataki hata kupokea
simu, nikituma sms sijui anaisoma ila hajibu ki2.Yaan... We acha 2
niko njia panda
sasa na wewe tigo promo badala ya kuongea na mpenzio uko kwenye simu na mtu mwingine...ulikua unaongea na nani??
mda kiasi gan mkuu siku ya tatu sasa bado hajapoampe muda.
Atakuwa na mengine yame mbore zaidi ya hiyo call waiting.....Muulize.:A S check_03:
mpige chini hata wa kwangu kanizingua nikamdelete
unavua gamba unavaa gwanda huo ni mpango mzima
yaani nampenda sana na kumuacha siwez ndicho kinachoniumiza zaid
ukali wake ndo unanitisha zaidi,ila ngoja nitafute subira inivutie kheri'Excellent..utapiga chini wangapi?.Nenda nae taratibu.Kila kitu kitakua sawa..:sorry:
:sleep:..Talk to her in a nice wayyyyyyyy....atakusoma tu.
yaan nashindwa hata niongee nae vp coz cm hapokei nikibadilisha namba akisikia saut yangu 2 anakata cm,au kuna m2 anampa kiburi nn?
ukali wake ndo unanitisha zaidi,ila ngoja nitafute subira inivutie kheri'
Possibly YES OR NO..anaejua ni wewe na yeye jinsi mnavyoendesha mapenzi yenu...Mapenzi ni maelewano..kama hamna hivyo.Dont force.:flypig:
JOCATE DIAMOND..
Mmh...mkali tena..
kwa hiyo unanishauri nimwache au? Kama yes nitawaacha wangap?