Caller tunes - Inakusaidia nini unayepigiwa simu?

Ozzie

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2007
Posts
3,217
Reaction score
1,261
Kuna wakati huwa nafikiria saaana, kwanini watu huwa tunaingia gharama za ku subscribe kwenye caller tunes. Utakuta jamaa ana tunes zaidi ya tano, kila ukimpigia wasikia tunes tofauti tofauti. Bahati mbaya yeye hawezi kusikia caller tunes husika isipokuwa akitumia simu ya mtu kujaribu kujipigia. Kwa nini uweke tunes ambazo zinakufanya ukatwe pesa kila siku japo huzisikii?
 
Nothing. Nadhani ni suala la kuwaonyesha wadau wako nyimbo unazopendelea,kuwapa ujumbe na kuwafurahisha wale wanaokupigia ili wasiwe-bored. But kimsingi ni upotevu wa hela
 
Back
Top Bottom