Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,286 Reaction score 4,523 Jan 30, 2011 #1 Osasuna leo wamemchapa Real Madrid kwa bao 1 kwa nunge! Ronaldo, Kaka, Benzema, Adebayor wote ndani. Nadhani Jose Mourhino siku zake zinahesabika gap na Barcelona linazidi kuwa kubwa ni points 7 sasa lol!
Osasuna leo wamemchapa Real Madrid kwa bao 1 kwa nunge! Ronaldo, Kaka, Benzema, Adebayor wote ndani. Nadhani Jose Mourhino siku zake zinahesabika gap na Barcelona linazidi kuwa kubwa ni points 7 sasa lol!