Camarador camp - mwanza - karibu

Camarador camp - mwanza - karibu

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,598
CAMARADOR CAMP – MWANZA CITY
Mwana JF uliyeko Mwanza na yeyote anayetegemea kutembelea jiji la Mwanza; unakaribishwa kujumuika na wastaarabu Camarador Camp iliyo Barabara ya Nyerere (Igoma – Nyuma ya St. Marys School) Tuko na vinywaji vya moto na baridi, nyama choma na bites mbalimbali. Ukiwa mahali pale utakutana na Wajasiriamali ambao utabadilishana nao mawazo ili kuulisha ubongo kile kinachofaa. Ni sehemu tulivu yenye mandhali asilia.
Kwa maelezo zaidi waweza kuwasiliana nasi kwa namba ifuatayo:- 0655 533 543 au e-mail: jnb14enterprises@gmail.com.
KARIBU CAMARADOR CAMP
 
Back
Top Bottom