Cambridge International College

Cambridge International College

jichopevu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
406
Reaction score
248
Habari wadau,

Naomba kufahamishwa umiliki wa hii college. Ni ya serikali au ni ya mtu/watu binafsi?. Naizungumzia college iliyopo kule UK ingawa ina matawi sehemu zingine kama Austarial n.k. Naomba kufahamishwa ownership ya college iliyopo UK.
 
Back
Top Bottom