J jichopevu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 406 Reaction score 248 Jan 6, 2015 #1 Habari wadau, Naomba kufahamishwa umiliki wa hii college. Ni ya serikali au ni ya mtu/watu binafsi?. Naizungumzia college iliyopo kule UK ingawa ina matawi sehemu zingine kama Austarial n.k. Naomba kufahamishwa ownership ya college iliyopo UK.
Habari wadau, Naomba kufahamishwa umiliki wa hii college. Ni ya serikali au ni ya mtu/watu binafsi?. Naizungumzia college iliyopo kule UK ingawa ina matawi sehemu zingine kama Austarial n.k. Naomba kufahamishwa ownership ya college iliyopo UK.