Biashara na masuala ya safari ni ya with wawili tofauti boss!visa na ticket msafir amepata tyr!na Dalali muuzaji ndio hiyo namba yake.so usichanganye mada boss!pia msafiri ana watu wake Kule na haitaji connection yoyote toka humu jf.aliweka kama mada wabongo engine watoe mawazo yao!na hutoa wazo before so piga kimya mkuu.Kiukweli hayo wanamambo hayo ni ya zamani sana, zamani watu ndio walikuwafikiria kuwa maisha yapo nje ya nchi lakin ukiwauliza waliopo huko watakupa mwanga. Baki Bongo tafadhali, unaweza uza vitu vyako vyote bure halafu mwisho wa siku hata visa usipate
mjini pamekushinda mkuu?
Mshauri nasaha inaonekana kazi c yako umevamia fani!haiwezekani suala la German utolee ushauri kwenye tangazo la biashara!mwenye bidhaa anadaiwa na fin a.mlipie basi maana unajifanya kufatilia post za nyuma na kulinganisha na matangazo il I uonekane umechangia nawe.Biashara na masuala ya safari ni ya with wawili tofauti boss!visa na ticket msafir amepata tyr!na Dalali muuzaji ndio hiyo namba yake.so usichanganye mada boss!pia msafiri ana watu wake Kule na haitaji connection yoyote toka humu jf.aliweka kama mada wabongo engine watoe mawazo yao!na hutoa wazo before so piga kimya mkuu.
Usilolijua litakusumbua!nilijua huko German nawe umekaa kumbe stories tuu umezisikia,pig a kimya basi!hili tangazo la biashara na sio masuala ya visa hapa!unaniharibia biashara Yang UA udalali mkuu engine huku kwetu tumefungua acc jf kusaidia na ndugu jamaa na marafiki wasio na uwezo Wa kumiliki simu zenye uwezo Wa Internet. Toka ndukiiiiWe jamaa utakuja kujutia uamuzi wako siku moja, najua unauza vitu vyako vyote kwakuwa unataka kwenda ujerumani, kumbuka ulichokiandika hapa ''[h=2]Topic: Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu[/h]by majuba
Replies780Views75,836
[h=3]re: Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu[/h] Jamani members nisaidieni mm nataka kwenda German December mwanzoni nikawe tu babysitter cause maisha bongo yamenishinda nina degree Mona ajira za kamlete.mm sina ndugu kibosile.na Nina watoto maisha...''
Pia unauza na kiwanja chako kilichopo picha ya ndege kibaha kwa milioni 5 kina kama sqm 658.
Huo ni upuuzi, tumia mbinu ulizotumia kupata hivyo vitu hapa bongo. Ujerumani maisha ni magumu sana kwa wageni, sera zao katika ajira za wageni ngumu sana. Sijasimuliwa ila nimeona kwa macho yangu.
Kila la heri mkuu, kama sio mwizi ukifikia Hamburg au Berlin nitafute nikupe connection ya wabongo na wajerumani.
Mkuu king'amuzi unauza pamoja na antena yake?