Mr Sanguine
Member
- Dec 29, 2017
- 77
- 44
Canon au NikonNaomba kujua aina gani ya Camera Ina quality nzuri ya picha zake. Nahitaji kuanza ka biashara kadogo ka kupiga picha na passports size.
Wazoefu wa mambo haya naomba mnisaidie Sasa nijue nanunua camera gani kwa kazi hii niliyoamua kuifanya na ikiwezekana, na Bei ya camera kabisa.
Boss, Nina Canon hapa Megapixel 20 lakini Quality yake ni majanga kabisa!Canon au Nikon
Boss, Nina Canon hapa Megapixel 20 lakini Quality yake ni majanga kabisa!
Bei yake ikoje MkuuMkuu alikua anazungumzia zile Cannons kubwa za kupachika lens,kuanzia D 450,500,550 D 1000 na D 1100 kwa Nikon kubwa ni D 3000,D 3100, D 3200 na kuendelea au kama Nikon au Cannon ni zile size ya kati wenyewe wanaita zina Picha nzuri zaidi..
CANON AINA GANI , DSLR , HUENDA NI MBOVUBoss, Nina Canon hapa Megapixel 20 lakini Quality yake ni majanga kabisa!