Wabongo bana hizi kamera zikiwa mpya zinauzwa kuanzia 200,000 hadi 300,000 pale Game,na maduka mbalimbali hapa town,ingekuwa ni SLR tungesema asavaliView attachment 25761
Product Features
14.1-megapixel resolution; 4x optical image-stablized zoom
720p HD video capture at 30fps
Panasonic iA mode makes it simple for anyone to take beautiful photos
LUMIX Image Uploader makes it simple to share pictures on Facebook and video on YouTube
Capture images and video to SD/SDHC memory cards (not included)
bei tsh 400000 ukihitaji ni pm
Kwa kifupi kaka hiyo bei ni kubwa hata pamoja na hizo spec zake,ingekuwa hizo zingine kwa mfano SLR ambzo ni kwa pro na semi pro ambayo imetumika watu wangechangamukia ,tafadhali unapouuza kitu angalia na soko la kitu chenyewe,sifa ya hicho kitu je kweli kina thamani ya pesa uliyosema,hayo ni maoni yangu tu,kwani kwa yote hili ni soko huria mwenye kitu ndio mwenye uamuzi sisi wengine tunapiga tantalila tumkuu revolution nashukuru kwa kujibu ila laki 2 unauwa bendi mkuu, itakuwa haendi,ila kuna mshikaji hapa mfiachi kasema game zipo kama zipo hebu chek labda inaweza kuwa bei nzuri kuliko mimi si wajua tena inategemea mimi nimeipataje na hivi vitu huwa vinashuka bei kadiri inapokaa sokoni au kunapokuwa na toleo jipya,ila mfiachi SLR anazosema labda zipo za laki4 ila navyojua hivi vitu inategemea specifications tu na imetoka wapi,ila wakuu nashukuru kwa kuonyesha interest zenu akina Papizo Kireka1980 KIMICHIO revolution big up