Mributz Senior Member Joined Aug 29, 2022 Posts 177 Reaction score 527 Apr 16, 2023 #1 Badge hidden video & sound recorder pia Kwa ma Biker kitu ni nzuri sanaaaa Ina magnetic 🧲 inakaa kokote hata kwenye shirt/t-shirt/coat video ni HD..... only for 300,000/= Dsm 0718909429
Badge hidden video & sound recorder pia Kwa ma Biker kitu ni nzuri sanaaaa Ina magnetic 🧲 inakaa kokote hata kwenye shirt/t-shirt/coat video ni HD..... only for 300,000/= Dsm 0718909429
Chawa wa Zamani Senior Member Joined Mar 12, 2023 Posts 145 Reaction score 224 Apr 16, 2023 #2 picha nyingine azifunguki Mkuu..vp inajachiwa au n solar?
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 12,001 Reaction score 27,175 Apr 16, 2023 #3 Dawa yao imepatikana kina nani tujue kwanza,isije ikawa mtego wa panya unanasa yeyote? Halafu mbona kama kubwa kweye shati au koti mtu si anajua kitu kimewekwa humu,kwanini isiwe saizi ya kifungo cha shati? Inawekwa ndani au nje ya shati/koti?
Dawa yao imepatikana kina nani tujue kwanza,isije ikawa mtego wa panya unanasa yeyote? Halafu mbona kama kubwa kweye shati au koti mtu si anajua kitu kimewekwa humu,kwanini isiwe saizi ya kifungo cha shati? Inawekwa ndani au nje ya shati/koti?
Drc congo JF-Expert Member Joined Apr 3, 2019 Posts 636 Reaction score 2,896 Apr 16, 2023 #4 Mbona ni kubwa sana