Sio kweli 3D plate namba zinaonekana clear kuliko za kawaidaWaTz punguzeni upumbav na ushamba... Hizo plate namba sio 3D kwasabab hata ukiwa karibu nazo hazionekan vzuri, usiku ndio kabisa ni kama takataka...
Punguzeni ujinga wa kujaza maurembo yasiyo na maana ktk magari...
TetesiKufuatia operesheni ya kukamata plate number za 3D, habari kutoka vyanzo visivyotaka vitambulike ni kuwa, camera za polisi zile maarafu kwa kuwakamata wadaiwa sugu wa traffic fines!
Zinashindwa kutambua plate number za 3D na hivyo kuisababishia jamhuri ya muungano wa Tozo kukosa mapato yake ya TRA ndogo aka wazee wa pesa kidogo za Brush.
Je, ni sahihi kuua ajira za maelfu ya vijana wajasiriamali waliojiongeza na kutengeneza 3d plate numbers au polisi walipaswa kutafuta camera bora zaidi kutokana na mabadiliko ya teknolojia?
Anyway mimi sina Gari wacha tuendelee kuitazama serikali ya mama inavyopambana na Tozo zake...
Kungekuwa na likes mia ningekupa,thumb upHapo zamani kidogo camera hazikuwepo tukalalamika sana na kushauri sana kuhusu kuletwa camera za barabarani hatimae zikaletwa na wanaofanya makosa wanapigwa faini.
Kutokana na maendeleo ya technology wajasiriamali wakagundua plate namba za 3D ambazo ni wazi kwamba ugunduzi huu ulilenga maboresho ya muonekano wa hizo plate number lakini pia kutokana na ukweli kwamba hazisomeki kwenye camera za barabarani ndio maana zikapata umaarufu wa ghafla na kwa speed kubwa sana.
Suala la kujiuliza nani amfuate mwenzake? Je raia afuate utaratibu uliopo au police wazitupe hizi camera za barabarani tulizonunua na nyingine kupewa misaada ili wanunue hizo ambazo zina uwezo wa kusoma 3D??? At whose expense???
Hivi ni kweli aina hii ya Ujasiriamali ililenga kupendezesha plate number bila kufanya mhalifu asisomeke kwenye rada? Sijui kwa nini tulazimishe budget nyingine ambazo wenyewe tunalalamika kila siku pesa ya mlipakodi inavyotumika hovyo.
Zinashindwa kutambua plate number za 3D na hivyo kuisababishia jamhuri ya muungano wa Tozo kukosa mapato yake ya TRA ndogo aka wazee wa pesa kidogo za Brush.[emoji23]Kufuatia operesheni ya kukamata plate number za 3D, habari kutoka vyanzo visivyotaka vitambulike ni kuwa, camera za polisi zile maarafu kwa kuwakamata wadaiwa sugu wa traffic fines!
Zinashindwa kutambua plate number za 3D na hivyo kuisababishia jamhuri ya muungano wa Tozo kukosa mapato yake ya TRA ndogo aka wazee wa pesa kidogo za Brush.
Je, ni sahihi kuua ajira za maelfu ya vijana wajasiriamali waliojiongeza na kutengeneza 3d plate numbers au polisi walipaswa kutafuta camera bora zaidi kutokana na mabadiliko ya teknolojia?
Anyway mimi sina Gari wacha tuendelee kuitazama serikali ya mama inavyopambana na Tozo zake...
Hapo zamani kidogo camera hazikuwepo tukalalamika sana na kushauri sana kuhusu kuletwa camera za barabarani hatimae zikaletwa na wanaofanya makosa wanapigwa faini.
Kutokana na maendeleo ya technology wajasiriamali wakagundua plate namba za 3D ambazo ni wazi kwamba ugunduzi huu ulilenga maboresho ya muonekano wa hizo plate number lakini pia kutokana na ukweli kwamba hazisomeki kwenye camera za barabarani ndio maana zikapata umaarufu wa ghafla na kwa speed kubwa sana.
Suala la kujiuliza nani amfuate mwenzake? Je raia afuate utaratibu uliopo au police wazitupe hizi camera za barabarani tulizonunua na nyingine kupewa misaada ili wanunue hizo ambazo zina uwezo wa kusoma 3D??? At whose expense???
Hivi ni kweli aina hii ya Ujasiriamali ililenga kupendezesha plate number bila kufanya mhalifu asisomeke kwenye rada? Sijui kwa nini tulazimishe budget nyingine ambazo wenyewe tunalalamika kila siku pesa ya mlipakodi inavyotumika hovyo.
AiseeHapo zamani kidogo camera hazikuwepo tukalalamika sana na kushauri sana kuhusu kuletwa camera za barabarani hatimae zikaletwa na wanaofanya makosa wanapigwa faini.