Wabongo bana tangazo gani hilo lisilo na kichwa wala miguu na ndio maana mambo yanatushinda,hilo tangazo ni kama tangazo la Twiga simenti,unatakiwa utoe maelezo kama hiyo kamera ni kwa ajili ya picha still au video na unazihitaji kwa kazi gani ili hata anayekuletea aweze kukuletea kamera inayofaa kwa hiyo kazi kwa mfano je ni kwa ajiri ya hafla ya kuzaliwa mtoto au ni kwa ajili ya picha za documentary n.k si ajabu ndio maana Wakenya wanatupita kwa kila kitu,hata mtu unapotangaza kuwa jamaani eh nataka mtu alete glass kuna tenda lazima ueleze ni glass za aina ipi je ni za kunywea waini au biere au za kupimia njegele