Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine camera zitegwe usawa wa kona za uwanja hasa eneo la pitch,kwenye vibendera kuelekea golini nyuzi 90,inaweza kusaidia warefa wetu kujua kama ni goli ama vinginevyo maana sasa hata timu ikishinda maneno hayaishi.
Hilo litasaidia Ila inahitaji uwekezaji ktk hili!Kwahiyo camera ikiwekwa ikatokea tukio la namna hiyo mwamuzi aende kwenye OB Van ya AzamTV kuangalia kama ni goli au lah?
Sent from my iPhone using Tapatalk
Unataka kusema kipa wa yanga alidakia ndani kama wa azam?¿
Hapana, anamaanisha Simba kapewa magori mengi ya offside refers: Mwadui, Namungo, polisi Tanzania, penalty ya Yanga, goli dhidi ya Mbao pale Kirumba na mengine meengi.Unataka kusema kipa wa yanga alidakia ndani kama wa azam?¿