Camera zitegwe usawa wa kona za uwanja hasa eneo la pitch,kwenye vibendera kuelekea golini nyuzi 90

makedonia

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
4,171
Reaction score
3,461
Pengine camera zitegwe usawa wa kona za uwanja hasa eneo la pitch,kwenye vibendera kuelekea golini nyuzi 90,inaweza kusaidia warefa wetu kujua kama ni goli ama vinginevyo maana sasa hata timu ikishinda maneno hayaishi.
 
Unataka kusema kipa wa yanga alidakia ndani kama wa azam?¿
 
Kwahiyo camera ikiwekwa ikatokea tukio la namna hiyo mwamuzi aende kwenye OB Van ya AzamTV kuangalia kama ni goli au lah?

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
EPL wana saa kabisa zimekuwa connected na mfumo wa utambuzi wa goli,goal likiingia saa inakuonyesha status.
 
Mimi naomba kipigo heavy kwa waamuzi wanaovurunda kiruhusiwe. Tangu waamuzi walipoanza kupewa ulinzi mkali ndo wakaanza ukengeufu.
 
Unataka kusema kipa wa yanga alidakia ndani kama wa azam?¿
Hapana, anamaanisha Simba kapewa magori mengi ya offside refers: Mwadui, Namungo, polisi Tanzania, penalty ya Yanga, goli dhidi ya Mbao pale Kirumba na mengine meengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…