Upo sahihi.Narudi kwenye huu uzi wangu
We mtoto acha utani basi, Cameroon ikuue kisa Nini, watu tunakuhitajiNafatilia match hapa moyo unaniuma
Cameroon itaniua!
Uwezo wa Cameroon hautofautiani sana na Taifa starsNimefall kwa Cameroon, haiwezi kuniua ila cha moto nitakiona...
Ili goal moja moyo unaniuma
π€£π€£Naangalia mechi hapa ya Cameroon vs Burundi ni ajabu kuona Cameroon akicheza kama underdog. Burundi wako kwenye kiwango bora sana, wanadefend vizuri na wanashambulia kwa kushtukiza kupitia kwa mshambuliaji wao hatari Caleb.
Kama Cameroon ataenda hivi AFCON ijayo sidhani kama watavuka hatua ya makundi na sio ajabu hadi leo hajaqualify akitegemea draw au ushindi ili apite.
Samuel Etoo anaendesha mpira wa Cameroon kishkaji sana. Anamwonea aibu Regobert Song. Song anatakiwa kutimuliwa mara moja.
Timu inacheza ovyo sana, iko uwanja wa nyumbani lakini wachezaji wanacheza kwa wasiwasi hawajatulia, hawajiamini. Kama sio ubora wa Onana muda huu Burundi angekua mbele kwa goli zisizopungua 3
Kesho saa 5 usiku tupo na tunisia, binafsi baada ya Kuona mechi Yao na south Africa walioshinda 2-0 nikaamua kwenda naoπNitafatilia match yao ijayo, wanacheza lini
πππNaangalia mechi hapa ya Cameroon vs Burundi ni ajabu kuona Cameroon akicheza kama underdog. Burundi wako kwenye kiwango bora sana, wanadefend vizuri na wanashambulia kwa kushtukiza kupitia kwa mshambuliaji wao hatari Caleb.