Cameroon vs Chile live TV1

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,210
Reaction score
4,175
fatilia Mechi LIVE kati ya wawakilishi wa Africa Cameroon vs Chile sasa hivi kupitia TV1 Karibuni
 
kama kawaida yetu wa Africa ni kukosa umakini Uwanjani. Jamaa wanatupeleka sana.
 
duh mbona cameroon wanashambuliwa sana,tutashinda kweli!
 
Dah, ahsante sana chief... ckuwa najua, nmeanzia dk ya 20 co mby nitaenjoy pia!
 
Kipa huyu wa Cameron ni kati ya makipa bora na walio kwenye ubora wao kwa sasa barani Afrika... (ONDOA)
 
kama kawaida yetu wa Africa ni kukosa umakini Uwanjani. Jamaa wanatupeleka sana.
Saaana Mkuu, yaani kama Sanchez angekuwepo naamin tungekuwa tunaongea mengine. naomba twende HT hivi angalau tukajipange upya
 
ni presha tupu. Bora hata wangekua Ghana Au Ivory cost. Lakini hawa jamaa ni Bure Kabisa Miaka Yote.
dk ya 40 hii mnawananga lkn matokeo bado ni bilabila,unatamani wafungwe nini mkuu?
 
Saaana Mkuu, yaani kama Sanchez angekuwepo naamin tungekuwa tunaongea mengine. naomba twende HT hivi angalau tukajipange upya
hivi mkuu shida ya waafrica ni Nini? Mimi nawaza hata sipati jibu hivi tumelaaniwa na nani?
 
Cameroon watachapwa tu hamna namna. Ingelikuwa Algeria au Tunisia hapo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…