Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ndio taarifa iliyosambazwa na shirikisho la soka la nchi hiyo , kwamba Song sasa ndio kocha mpya !
Ukweli ni kwamba achilia mbali kwamba uzoefu wa Song kwenye ukocha unatia shaka , lakini tabia yake ya ubabe uwanjani pia ni changamoto , Ukocha si kufundisha pekee, bali ukocha ni uongozi pia , mashaka yangu ni juu ya uwezo wa uongozi wa huyu " Msela " Song , Je anaweza kusimamia ndhamu ya timu?