Cameroon yacheza kamari, yamteua Rigobert Song kuwa kocha wa Timu ya Taifa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio taarifa iliyosambazwa na shirikisho la soka la nchi hiyo , kwamba Song sasa ndio kocha mpya !

Ukweli ni kwamba achilia mbali kwamba uzoefu wa Song kwenye ukocha unatia shaka , lakini tabia yake ya ubabe uwanjani pia ni changamoto , Ukocha si kufundisha pekee, bali ukocha ni uongozi pia , mashaka yangu ni juu ya uwezo wa uongozi wa huyu " Msela " Song , Je anaweza kusimamia ndhamu ya timu?
 
Hata Mikel Arteta ulituambia hawezi na atafukuzwa, ajabu anaongezwa mkataba.
 
Baada ya Senegal Marastaman wamepanda chart.
 
Nilijua Etoo atakuwa tofauti na viongozi wetu wa hovyo wa Vyama vya Mpira kumbe na yeye ndio wale wale.
 
Uzuri wa hizo timu wachezaji wao karibia wote wanacheza ulaya, huyo Song kazi yake itakuwa kuchagua wachezaji, kupanga kikosi, na mfumo watakaotumia, nothing else.

Hata yule kocha wa Senegal kwangu sio kocha, lakini jamaa ndio mabingwa wa Afrika.
 
Uongozi ?

Rigobert Song Bahanag (born 1 July 1976) is a Cameroonian former footballer and current football coach. He was a member of the Cameroon national team between 1993 and 2010. He is the coach of the Cameroon U-23 national team.

Known for his defensive skills, Song usually played as a centre back but could also operate at right back. Internationally, he played at a record eight Africa Cup of Nations tournaments and served as captain in five (the ones he was not captain for were South Africa 1996, Burkina Faso 1998 and Angola 2010), a record,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…