Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
- Thread starter
-
- #21
DuhKuna mtu namfahamu ni mwana CAMA kwa maana aliwahi kusaidiwa na hao Camfed. Kwa sasa anajifanyia shuguli zake za kipato na ana pesa nzuri tu. Camfed huwapa hadi mikopo isiyo na riba. Can you imagine unakopa milioni 4 ulipe mwaka mzima/miezi 6 bila riba?
Bidada huchukua na kurejesha haraka kisha hukopa tena.
Sema watu wanapiga hela sana huko kwa namna wanayojua wao.
CAMFED (Campaign for Female Education)
Hadi mtoto anaingizwa kwenye mpango huu ,alihojiwa na ikaazibitika kua anaishi mazingira magumu,God forbid!
Sina vitu vyote hivyo. Mimi mzima wa afya na Nina uwezo wa kumsomesha mwanangu. Kwanini mwanangu aingizwe Camfed bila ridhaa yangu?
Huo si udhalilishaji?
Wewe jamaa ntakupiga acha utoto basiHadi mtoto anaingizwa kwenye mpango huu ,alihojiwa na ikaazibitika kua anaishi mazingira magumu,
π π π akawe trekta la kulima barabara kwa mkono kinguvu apende asipende.Maskini ni wabishi sana, hivi tupo kukuunganisha TASAF utake usitake
Sasa tumekuta mtoto shuleni ana viraka matakoni tukaona tumwandikishe. Sasa baba mwenye uwezo unashindwaje kumnunulia mtoto uniform aisee?Camfed ni watu gani hawa? Wana fanya kazi kwa utaratibu gani?
Anae wafahamu vizuri ni nani?
How comes mnamuandikisha mtoto kwenye mpango wa kumsomesha kwamba anaishi kwenye mazingira magumu bila kuwashirikisha wazazi wake?
Mimi baba Nina uwezo wa kumsomesha mtoto wangu. Ghafla naambiwa mtoto wako eti yupo chini ya Camfed?
Mlikuja saa ngapi nyumbani kwangu kuthibitisha kwamba mimi Sina uwezo hadi mumuandikishe mwanangu kwenye programs zenu?
Yani kweli Mimi kabisa nishindwe kumsomesha mwanangu shule ya Kayumba? kweli?
Matusi makubwa sana haya
Hilo lipo kwa ajili ya watu kujipigia misaada kwa migongo ya watoto wenu unakuta bajet inasoma full package wao wanamletea midoli ya viatu na Miche ya sabuniCamfed ni watu gani hawa? Wana fanya kazi kwa utaratibu gani?
Anae wafahamu vizuri ni nani?
How comes mnamuandikisha mtoto kwenye mpango wa kumsomesha kwamba anaishi kwenye mazingira magumu bila kuwashirikisha wazazi wake?
Mimi baba Nina uwezo wa kumsomesha mtoto wangu. Ghafla naambiwa mtoto wako eti yupo chini ya Camfed?
Mlikuja saa ngapi nyumbani kwangu kuthibitisha kwamba mimi Sina uwezo hadi mumuandikishe mwanangu kwenye programs zenu?
Yani kweli Mimi kabisa nishindwe kumsomesha mwanangu shule ya Kayumba? kweli?
Matusi makubwa sana haya
Unazingua kutoa hela ya pencil au unatoa kwa kelele sana. Mwanao kaona ajiandikishe huko asipate tabuGod forbid!
Sina vitu vyote hivyo. Mimi mzima wa afya na Nina uwezo wa kumsomesha mwanangu. Kwanini mwanangu aingizwe Camfed bila ridhaa yangu?
Huo si udhalilishaji?
Watoto wanaishi mazingira magumu wanaonekana hata kuwaangalia tu. Labda humpatii mahitaji ya msingi hadi kuonekana anatokea familia maskini.Camfed ni watu gani hawa? Wana fanya kazi kwa utaratibu gani?
Anae wafahamu vizuri ni nani?
How comes mnamuandikisha mtoto kwenye mpango wa kumsomesha kwamba anaishi kwenye mazingira magumu bila kuwashirikisha wazazi wake?
Mimi baba Nina uwezo wa kumsomesha mtoto wangu. Ghafla naambiwa mtoto wako eti yupo chini ya Camfed?
Mlikuja saa ngapi nyumbani kwangu kuthibitisha kwamba mimi Sina uwezo hadi mumuandikishe mwanangu kwenye programs zenu?
Yani kweli Mimi kabisa nishindwe kumsomesha mwanangu shule ya Kayumba? kweli?
Matusi makubwa sana haya
Kama unajiweza nenda shuleni ukiwa na barua ya kuomba mwanao atolee kwenye ufadhili huo.God forbid!
Sina vitu vyote hivyo. Mimi mzima wa afya na Nina uwezo wa kumsomesha mwanangu. Kwanini mwanangu aingizwe Camfed bila ridhaa yangu?
Huo si udhalilishaji?
Thank youKama unajiweza nenda shuleni ukiwa na barua ya kuomba mwanao atolee kwenye ufadhili huo.
Lakini Walimu walikuka utaratibu.
Maana walipaswa wawaite wazazi kabla a ufadhili kuanza wawape taarifa na Elimu kuhusu Shirika Hilo.
Hivyo andika barua ipeleke shuleni au nenda kwa afsa elimu wilaya kwenye halmashauri yako utapata maelezo zaidi
Hakuna kitu kama hicho mkuu.Watoto wanaishi mazingira magumu wanaonekana hata kuwaangalia tu. Labda humpatii mahitaji ya msingi hadi kuonekana anatokea familia maskini.
Ukiona unasomesha mtoto kayumba tayari ni ombaomba maana ni elimu ya bure iyoYes najua but kuna kitu hakipo sawa. Utaratibu wao sio mzuri. I shall never be a begger. God forbid
Hawa ni watu wanao jipiga tu kifua unakuta mtoto sare za shule zote zimejaa viraka soksi hana viatu vinapiga miayo hata ungekuwa wewe mwalimu kwanini usimwandikishe mtoto wako kuwa anatokea mazingira magumu?Kama unajiweza nenda shuleni ukiwa na barua ya kuomba mwanao atolee kwenye ufadhili huo.
Lakini Walimu walikuka utaratibu.
Maana walipaswa wawaite wazazi kabla a ufadhili kuanza wawape taarifa na Elimu kuhusu Shirika Hilo.
Hivyo andika barua ipeleke shuleni au nenda kwa afsa elimu wilaya kwenye halmashauri yako utapata maelezo zaidi
ππππUkiona unasomesha mtoto kayumba tayari ni ombaomba maana ni elimu ya bure iyo
Camfed hawana tatizo tatzo lipo kwa wale wanaopokea misaada kukuletea ww hawo mara nyingi Huwa wanaandika watu wenye uwezo ili wakwepe kukuletea misaada waipigeCamfed ni watu gani hawa? Wana fanya kazi kwa utaratibu gani?
Anae wafahamu vizuri ni nani?
How comes mnamuandikisha mtoto kwenye mpango wa kumsomesha kwamba anaishi kwenye mazingira magumu bila kuwashirikisha wazazi wake?
Mimi baba Nina uwezo wa kumsomesha mtoto wangu. Ghafla naambiwa mtoto wako eti yupo chini ya Camfed?
Mlikuja saa ngapi nyumbani kwangu kuthibitisha kwamba mimi Sina uwezo hadi mumuandikishe mwanangu kwenye programs zenu?
Yani kweli Mimi kabisa nishindwe kumsomesha mwanangu shule ya Kayumba? kweli?
Matusi makubwa sana haya
Kuilaumu CAMFED unakosea.....wa kumlaumu ni mwanao.Hiyo ni nuksi mkuu. Nuksi kubwa sana. Kataa kabisa hiyo nuksi