Camouflagers na informers

Intelligence yetu huwa inafatilia mno siasa aisee, wajikite kwenye uchumi, wenzetu wanaanzisha NGOS kwa malengo flani flani huku kwetu kufatilia wakosoaji tu.
 
I also read a black ops book recently...it is full of stories about spies who were planted in different places to disguise others and collect the information they needed.
Hapa kwetu hawa wanaokuja kwa makundi kuleta habari njema ya Mwenyezi Mungu au kusaidia vijana au hata kuwekeza....we got to watch them with wide, open eyes
 
Ni ngumu sana
Unaweza hata kumkuta akijifanya chizi maarifa
Muuza urembo
Mwalimu
Fundi nknk kulingana na nature ya kazi...

Jr[emoji769]
Hahaaaa! Mshana kwa ufupi mwambie Carter asimdharau na kumwamini yeyote kwa hili, asimkute teja kituo cha daladala anatokwa udenda akamchukulia huyu si teja tu! daah ni kosa kubwa mno, lakini ajitahidi kuishi kwa nidhamu ili asijenasa kwenye mitego ya hawa wasanii,mimi hupenda kuwaita wasanii kwa kuwa wana uwezo ama weledi wa kuvaa uhalisia utafikiri wao ndo wenyewe kumbe wanaishi kulingana na mazingira kwa lengo maalum.

Cha msingi tuishi kwa kufuata sheria tusije dondokea mikononi mwa watu wa hivi.
 
Unatushawishi tusome kitabu cha Yericko boss "Ujasusi Wa Kidola Na Kiuchumi "
Au ndo the Big boss mwenyewe?
 
Bora wanao kuja kwa habari njema sikuhizi hizi NGOs ndo malengo yao mi nilishangaa watu ni wageni wanajua Tanzania in details had makabila, hafu wanajifanya kutoa misaada, ndo nikajua Africa u maskini wetu hautakaa uishe wenzetu wanatumia ujasusi kuendekea kutukandamiza, na kutusoma madhaifu yetu then tunabaki tukishang'aa sharubu
 
Naomba jina la hiki kitabu Tafadhali, nikitafute
 
Kama ni wanaridhaa(amateurs) wataacha alama ila kama ni wajuzi (professionals) kutrace alama zao ni kazi moja kubwa sana

Jr[emoji769]
LOL ila we jamaa una akili sana,inafikiaga mahala huwa nadhani hiyo akaunti yako inatumiwaga na mtu zaidi ya mmoja,ama ni akaunti ya kikundi fulani.kwa kifupi wewe ni kisima cha ujuzi wa mambo.Nahitimisha kwa kusema huwa nafuatilia kwa utulivu sana mada zako,watu wanaokudharau wana upeo mdogo sana.

watu wanadhani kujua mambo mengi ya giza ni uchawi,wala sio kweli ,mapadiri na wachungaji,na maimamu wanajua mengi sana juu ya giza lakini sio wachawi,na kujua si kutenda, hii ni kutokana na kwamba waumini wao ni waathirika wakubwa wa mambo ya giza, na makimbilio yao ni kwa viongozi hao wa dini.
wewe ni jembe.
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji144][emoji144][emoji144]asante sana kwa compliment... Am humbled....
 
teh..teh...teh... wewe kama humo vile ila sijajua unatokea kundi gani sijui ndo lile la wachawi au wabahili?....natania tu!
 
teh..teh...teh... wewe kama humo vile ila sijajua unatokea kundi gani sijui ndo lile la wachawi au wabahili?....natania tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji86][emoji86][emoji86]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…