Camouflagers na informers

Kuna watu ambao wanapepeta mdomo haswa lakini wakati mwingine wanapendelea kuwa alone. Hawa naona ndio atari zaidi
Uwanja wako mkuu wengi hawapendi fujo au interaction wakati wakiwa alone wako radhi waingie chimbo la mbali mno
 
Mkuu, hii ya kula kitu kama tunda ama chakula mtaani naomba ufafanuzi kidogo coz wakati mwengine wanakulaga kwa wauza matunda ama chakula tunaowafahamu.
 
Kuna mkimya smart na anaweza kujichaganya na kila rika na anabadilika kulingana na mazingira akiwa na wahuni ana act ka mhuni, ukimya wao ni mpana zaidi so, best option ni kuwa mfexible
Kweli kabisa kuna mmoja pale kwenye maeneo ya mgahawa wa chef pride ana asili ya a kiarabu nilikuwa namuhisi siku nyingi nikawa namuona maeneo fulani nyeti sana,uhuni wote na wahuni wote anawajua na wanamjua
 
Kweli kabisa kuna mmoja pale kwenye maeneo ya mgahawa wa chef pride ana asili ya a kiarabu nilikuwa namuhisi siku nyingi nikawa namuona maeneo fulani nyeti sana,uhuni wote na wahuni wote anawajua na wanamjua
Aisee..
 
Daima maisha yasiyochunguzwa ujue hayana thamani.
Africa hatuthamini maisha yetu na ndo maana hatuchukui hatua ya kuyachunguza.
 
Sikuwahi kujua km una akili kubwa kiasi hiki.
 
Logic...thank you.
 
Huyu msanii aliyepewa nishani majuzi huyu marehemu nasikia alikuwa the most successiful undercover agent. kuna ukweli wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…