Camouflagers na informers

Ndio maana nikaweka kipengere cha pili kwamba kutambua/kugundua hizo alama itategemea sana ubobevu, taaluma, na uzoefu wa hao wafuatiliaji wa alama.

Tukirudi kwenye mada, hata humu jamvini ni kuwa makini tu. Iwe mtaani au popote pale.
Mimi huwa makini sana na waanzisha magroup ya Riwaya humu huko whatsapp. Manake unakuwa umetoa namba zako na kuwa exposed!
 
Mungu awape maisha marefu hawa watu kwa kuilinda mama Tanzania na Raisi wetu kipenzi cha Watanzania wanyonge
 
utawasikia.magufuli banaa.
Utawala wake mbovu kweli.
Kumbe wanangoja ufunguke wakuletee pira.
Mimi uwa nakaa kama sipo.mi mwenyewe FBI wa kujitegemea.
Dah! "FBI wa kujitegemea" [emoji23][emoji23]
 
Mimi huwa makini sana na waanzisha magroup ya Riwaya humu huko whatsapp. Manake unakuwa umetoa namba zako na kuwa exposed!

Unavyozidi kuwa makini inasaidia kwa namba moja lakini ni kama unawachelewesha au kuwafanya wapate shida kidogo kukupata lakini wakiwa ndio wana haja na wewe, wanakupata tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…