Camouflagers na informers

Hawa wanatumika zaidi ktk kutaifisha documents! Kuna sheikh mmoja alikua Dar akijua una document ya aina yoyote ya siri, siku inayofuata hautaiona tena.
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Napata picha sasa ya kijana mmoja hivii hapa mtaani Ubungo riveside sijui alipotelea wapi yule kijana kila akikamatwa anatoka tena bure kabisaa wenzie wana lalamika wametoa hela
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu nzuri
Mfano wa kwanza
Kiongozi mkubwa anapotaka kutembelea eneo fulani, wazugaji na watoa taarifa za siri hufika wiki moja ama zaidi kabla ya ziara rasmi... Hapa hujigawa katika makundi mawili
. kundi la kwanza ni la kusoma hali ya hewa kiusalama na kukubalika kwa kiongozi.. Mambo mabaya yanayotendwa na viongozi wa eneo husika na maoni ya wadau
. kundi la pili ni wazugaji. Hawa ni wana kitengo cha propaganda ili kuonyesha kukubalika, kuaminika na kuungwa mkono kwa kiongozi na imani juu ya wale aliowatembelea.. Hapa si ajabu kumkuta kiongozi anakula chakula mtaani kwenye banda fulani bila hofu, kunywa kinywaji kama dafu ama kula kitu kama karanga tunda nk... Wauzaji wa vitu vyote hivi ni watumishi wake waaminifu

Jr[emoji769]
 
[emoji115][emoji115][emoji40][emoji40]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…