xir jyerphy
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 994
- 184
Habarini wanajamvi...kaka & dada zetu mliotutangulia kunako elimu ya juu sisi wadogo zenu tunaoingia vyuoni kwa mara ya kwanza tungependa kujua uhalisia wa maisha ya chuo...we know there are lots of stuffs out there the likes of masomo magumu,starehe,ngono,pombe,pilika-pilika,ugumu wa maisha,mapenzi nk...tunashukuru kwa msaada wenu...nawasilisha