pole my dia,.my view z dat hata kama nigombane na mtu vipi,siezi kumwambia nenda kwa msichana fulani..that means sijali au wisdom imenipita.ngoja niwasikilize, niliwahi kuambiwa hivyo, sikuamini ila baada ya mda nikagundua alimaanisha alichosema
apo chacha!!HASIRA TU HIZO, na ole wake aende sasa atakiona cha mtema kuni
asante mpenzi, ilikuwa ugomvi mdogo tu, tena yeye ndo aliuanzisha, nadhani alikuwa anatafuta sababu ya kuondoka tu