FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Jamani muache kuiba....! Cheki sasa mwizi mwenyewe anjiletea ujane...! Sasa nani alaumiwe?Kuna mkasa umetokea mtaani kwetu mwanaume kazimia mpaka hivi sasa sijui akiamka kutoka kwenye Coma sipati picha
I wish haya mambo ya Infii yasingekuwepo kwa nini kutesana hivi
With all sincerity i doubt if any man can...
Kuna wengine wanaweza kufauta ule mstari wa kusamehe saba mara sabini......wanasamehe na maisha yanaendelea....ila ni adimu sana watu wa aina hii...
Ila infii kwa mke, ney!
FL1
Kusamehe ni karama tuliyopewa na Mungu; na ni kitu kizuri sana kama unaweza kusimama nacho bila kumnanga mwenzi wako miaka yote baada ya hapo.
Ninajua wanaume wengi sana wamesamehe na wengine wanaishi na watoto waio wao tena wakiwa wanajua... hilo linawezekana sana, lakini pia ukweli yote yatategemea sana huyo mama amefanya na nani na pia katika mazingira gani. Sijui kwangu yakinitokea ntafanyaje ila naomba sana mungu anipe uwezo huo
Nadhani yote yanatemegea malezi, imani yako na matumaini uliyopewa
Namuombea huyo jamaa akiamka atafakari kama anaweza kuishi na consequences za infii
Kuna mkasa umetokea mtaani kwetu mwanaume kazimia mpaka hivi sasa sijui akiamka kutoka kwenye Coma sipati picha
I wish haya mambo ya Infii yasingekuwepo kwa nini kutesana hivi
With all sincerity i doubt if any man can...
Mama yako mzazi?Mama alikuwa na mahusiano na boss wake akiulizwa anakataa ,mmewe akaweka mtego uliofikia kumnasa ..
Sasa mama ametoweka katika mazingira ya kutatanisha mzee yuko hospital
Nguluwe pitaaaaaaaa sina mkuku mie wewe haramu hahah
mkuke kwa nguruwe........................
No way... Never!
Just imagine jamaa linagugumia juu ya mke halfu wewe unasema "I'm forgiving you and I will forget"!
Sorry konakali nimekosea kwa kuanza mama pekee nilitakiwa kusema huyu mama ..ni jirani tuMama yako mzazi?
Kuna mkasa umetokea mtaani kwetu mwanaume kazimia mpaka hivi sasa sijui akiamka kutoka kwenye Coma sipati picha
I wish haya mambo ya Infii yasingekuwepo kwa nini kutesana hivi
With all sincerity i doubt if any man can...
Nani nguruwe hapa...:A S angry:
usikasirike St RR .. samahani eeee
No way... Never!
Just imagine jamaa linagugumia juu ya mke halfu wewe unasema "I'm forgiving you and I will forget"!
kwani unamsamehe wakati jamaa likiwa bado juu linagugumia, acha roho ngumu ,mbona tunaoa wanawake waliokwisha zaa tayari au walioachika, c nao midume ilikuwa inagugumia, ukiweka akili ya kusahau yaliyopita na kuganga yajayo mambo yote yanawezekena,
Tambueni wanaJF adhabu iliyokali kuliko zote ni upendo kwa aliyekukosea, waswahili wanasema ADUI MPENDE.........................................