FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
-
- #61
Duh!!!!!Mama mkwe nilitegemea kwa vyovyote vile lazima angezinduka angesema maneno kama hayo sababu hapo alipo ni ana hasira mbaya sana yaani sipati picha jambo kama alijakutokea wala usiseme chochote kile vinginevyo likikutokea u never know what will happen or what decision you might take........
Mkwe sitegemi haya kutokea kwa mwanangu ati ..ni magumu sana kuyatatua
Ukiona mwanaume anamkamata mkewe akicheat and then anasamehe huyo sio mwanaume kamili (biologically of course!) we were not built like that!!Hayo ya akicheat utamsamehe tu yaseme hapa hapa JF na ombea naye asiwepo maana akikusikia anaweza kutafsiri kuwa ndo umempa green light.
Na hadi uchitiwe mara ngapi ndo utakoma kusamehe? Au wewe utakuwa samehe samehe tu kila itokeapo?
Ukiona mwanaume anamkamata mkewe akicheat and then anasamehe huyo sio mwanaume kamili (biologically of course!) we were not built like that!!
Kama hujawahi kuiba ni rahisi kusamehe
Kama hujawahi kuiba ni rahisi kusamehe
Wanaume watende wao tu wakitenda wanawake wamekosa amsamehe maisha yaendelee mbona sie tunawasamehe? Na sie mara moja moja si mbaya sana aaakkk haki sawa kwa wote
Kuna mkasa umetokea mtaani kwetu mwanaume kazimia mpaka hivi sasa sijui akiamka kutoka kwenye Coma sipati picha
I wish haya mambo ya Infii yasingekuwepo kwa nini kutesana hivi
With all sincerity i doubt if any man can...
ili ujue uchungu wakuliwa mkeo fikiria hili " Kwa nini jamaa wengi huuliwa au kujeruhiwa kwa kuchukua mke wa mtu? na sijawahi sikia mwanamke kauliwa kwa kuchukua mume wa mtu? Kwa nini sentensi hii hutumika sana " Mke wa mtu ni sumu?" "
Hapo ndo utajua kuchukuliwa mkeo ni chungu kuliko maelezo na msamaha ni finyu na unaweza usiwepo kabisaaaaaaaaaa
Masikini anatilishaaaa......lakini cha kushangaza ni kuwa angekuwa ni mke ndiye kafumania unadhani hao ndugu wangesubiri kuitwa>> Yaani hata kabla hajazinduka wangefika wenyewe....tena wazee wa heshma ...na kuanza kumsemesha huo mwili wake (maana hajazinduka ati) huku wakimmasajimasaji kuwa maisha ndivyo yaivyo, avumilie tu......na akizinduka wanampa chorus.....ni mumeo msamehe, maisha ya ndoa ni kusameheana..... lakini kwa mume..........sidhani kama ni rahisi kusamehe aisee.
Ndio maana I always say kuna baadhi ya mambo ambayo mwanamke kama mwanamke hapaswi kuyafanya yaani hata iweje hatakiwi kuyafanya.....tunafanya tu kikichwa ngumu
Wanaume watende wao tu wakitenda wanawake wamekosa amsamehe maisha yaendelee mbona sie tunawasamehe? Na sie mara moja moja si mbaya sana aaakkk haki sawa kwa wote
Kama yeye ameshawahi kutoka Nje ya Ndoa, namshauri amsamehe tu na ajifunze kwamba haya Mambo huwa yanaumiza both ways, Ila kama hakuwahi hata siku moja kutoka nje ya Ndoa kwa kweli sina cha Kumshauri nitakubaliana na uamuzi wowote atakaouchukua lakini siyo kuua
Kuna mkasa umetokea mtaani kwetu mwanaume kazimia mpaka hivi sasa sijui akiamka kutoka kwenye Coma sipati picha
I wish haya mambo ya Infii yasingekuwepo kwa nini kutesana hivi
With all sincerity i doubt if any man can...