ukijua au kusikia huwa inatosha kusamehe na kuishi raha mustarehe sas ukitega na mitego ndipo comma inapokutembelea nashawishi wote watakaosikia wasitege mitego utashangaa kitakachonaswa
Yaani umemfumania LIVE mkeo harafu unamsamehe!! Una uhakika gani hatorudia tena kesho yake? Una uhakika gani kwamba hajaaza kukucheat tangu mlipofunga ndoa?
Life with her can never be the same again. Kumsamehe ili maisha yaendelee itakuwa total lunacy. Kama ''unampenda'' kweli, utamuacha huru ili aendeleze penzi lake huko huko. Ila kama humpendi na haumjari, unaweza kumsamehe tu..afterall yupo yupo tu
Kuna kusamehe na waume wanasamehe japo idadi ni ndogo, labda swali je ataishi nae tena, maana kuna kusamehe na kuishi nae tena.
Kwa maandiko ya biblia, kama mke au mume amelala na mtu mwingine mwezie anaruhusiwa kumwacha na kuvunja ndoa