Can anyone guess who's the next Tanzania's President?

Can anyone guess who's the next Tanzania's President?

Ukiniuliza baada ya Magufuli naweza kusema
Ccm itakuwa na any of these;
Hussein Mwinyi
William Lukuvi
Majaliwa Kassim
Suilemani Jaffo

Upinzani namuona
Zitto Zuberi Kabwe chini ya mwamvuli wa upinzani
 
Tunajipa kazi za utabiri,tuwaachie wakina sheikh yahya.hakuna anayeijua kesho
 
Back
Top Bottom