NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Houni mwengine hapo anasema eti ni sehemu moja imechukuliwa different angles. Yani hivi Karen, Nyari, Kitusuru, Runda, Gigiri et al zimekuwa sehemu moja. 😅😅Utaambiwa hizo nyumba na ardhi zinamilikiwa na mabeberu. I like how they find solace in this phrase when they can't find a suitable response to positive posts about Nairobi 😂
Achana na hawa vilaza. Unawezapata hata hajatizama hiyo video. That's what happens when jealousy can't let you reasonHouni mwengine hapo anasema eti ni sehemu moja imechukuliwa different angles. Yani hivi Karen, Nyari, Kitusuru, Runda, Gigiri et al zimekuwa sehemu moja. 😅😅
True, hawa ni wale wa kununua 'bandos'. Hawawezi watch vidaa.Achana na hawa vilaza. Unawezapata hata hajatizama hiyo video. That's what happens when jealousy can't let you reason
pia kiambu nayo imekua sehemu moja na karen...lolHouni mwengine hapo anasema eti ni sehemu moja imechukuliwa different angles. Yani hivi Karen, Nyari, Kitusuru, Runda, Gigiri et al zimekuwa sehemu moja. 😅😅
Listen to this person guys, ati where is the beach?anataka kuona beach karen....hehehee. Beach iko Kismayu kule vile SomaliWhere is the beach?
kwani hamujui kutumia drones.....the only organized estate yenye niya maana dar ni kigamboni tu...baada ya hapo hamna kituKwann usingeweka video za posh area Za Dar hapa badala ya kupiga domo...btw pako bomba nyumba na manzari kwa ujumla
Hakuna upepo mwanana wa baharini hapo, vumbi tupu limejaa hapo.Dah!! Patamu sana, Wabongo njooni mpigiwe mapicha huku.
Hiyo kazi nimekupa wewe Sasa, ndio maana nimeanzisha Huu uzi.Kwann usingeweka video za posh area Za Dar hapa badala ya kupiga domo...btw pako bomba nyumba na manzari kwa ujumla
Ukitaka upepo twakupa Mombasa.😁😁Haku
Hakuna upepo mwanana wa baharini hapo, vumbi tupu limejaa hapo.
Wewe wacha mizuka yako Dar kuna Masaki, Oysterbay,Mbezi beach,Mikocheni,Mbweni,bahari beach kote kwa moto tuDah!! Patamu sana, Wabongo njooni mpigiwe mapicha huku.