Can Donald Trump be prosecuted /accused of Incitement of attempted "Coup"?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kwa Trump kuwahimiza wafuasi wake wavamie Congress ili isimpitishe Biden kuwa Rais, je Trump anaweza kushitakiwa kwa uhaini?
Wanasheria tupeni maoni yenu kwa hili.
 
For sure, there are hard dark days ahead for him, he knows it and tried hard to Prevent it, its all over too late!
 
Kawatafute ofisini kwao wakupe maoni yao na uyalipie mkuu. No free lunch kwa mwanasheria. Anakupa maneno nawe unampatia pesa.
 
Michezo ya watu wazima tuwaachie watu wazima.
 
Nimepata fursa ya kuzungumza na jamaa yangu mmoja yupo huko jambo la ajabu Sana ambalo amelizungumza ingawa Sina uhakika nao Sana ni ;

1. Kura zimeibiwa kweli.

2. Trump kafanya reforms nyingi Sana kwa muda mchache aliokaa Ikulu ya marekani zaidi ya Rais mwingine kwa kipindi cha karne moja iliopita.

Anyways waliopo huko wanajua zaidi ya sisi tulioko hapa.
 
Kwa Trump kuwahimiza wafuasi wake wavamie Congress ili isimpitishe Biden kuwa Rais, je Trump anaweza kushitakiwa kwa uhaini?
Wanasheria tupeni maoni yenu kwa hili.
For the next four years to come at least three states will cause chaos and instability in teh United States of America whereby both local and international terrorists will take advantage to sabotage the just confirmed president elect Joe Biden.

If the head of states and his aides will understinate the threat the propagated democratic country is going to disintegrate despite the harmonizing efforts by the former head of states.

THere is no role model kdemocracy in USA rather dramatic superiority is enshrined to those who are notthriving to to esnure their country become self reliants economically, security and technologically.
 
Nimepata fursa ya kuzungumza na jamaa yangu mmoja yupo huko jambo la ajabu Sana ambalo amelizungumza ingawa Sina uhakika nao Sana ni ;

1. Kura zimeibiwa kweli.

2. Trump kafanya reforms nyingi Sana kwa muda mchache aliokaa Ikulu ya marekani zaidi ya Rais mwingine kwa kipindi cha karne moja iliopita.

Anyways waliopo huko wanajua zaidi ya sisi tulioko hapa.
Zimeibiwa na nani?

Kama wewe ni Rais uliyeko madarakani mwenye nguvu na mamlaka yote ya kuzuia uvunjivu wa sheria na haki za watu, huku ukiwa nawe ni mgombea wa nafasi hiyohiyo unawezaje kulalamika kuwa umeibiwa kura huku ukiwa huna hata ushahidi mkononi?

Acha uongo, malalamiko ya Donald Trump ni "vain" hayana ushahidi wowote na kila mahakama alikokwenda kufungua kesi ili kujaribu kupindua matokeo ya ushindi wa Biden, alishindwa kuthibitisha kwa kuonesha ushahidi wowote ule.

Huyo jamaa yako mwokota makopo na mfagizi wa barabara uliyezungumza naye sidhani hata kama alipiga kura ama kujua hata utaratibu wa uchaguzi wa USA, sasa anawezaje kukuambia kuwa kulikuwa na wizi wa kura?

Mnadhani USA ni Tanzania ya Magufuli mwizi wa kura siyo?
 
Zimeibiwa na nani?

Kama wewe ni Rais uliyeko madarakani mwenye nguvu na mamlaka yote ya kuzuia uvunjivu wa sheria na haki za watu, huku ukiwa nawe ni mgombea wa nafasi hiyohiyo unawezaje kulalamika kuwa umeibiwa kura huku ukiwa huna hata ushahidi mkononi?

Acha uongo, malalamiko ya Donald Trump ni "vain" hayana ushahidi wowote na kila mahakama alikokwenda kufungua kesi ili kujaribu kupindua matokeo ya ushindi wa Biden, alishindwa kuthibitisha kwa kuonesha ushahidi wowote ule...

Huyo jamaa yako mwokota makopo na mfagizi wa barabara uliyezungumza naye sidhani hata kama alipiga kura ama kujua hata utaratibu wa uchaguzi wa USA, sasa anawezaje kukuambia kuwa kulikuwa na wizi wa kura?

Mnadhani USA ni Tanzania ya Magufuli mwizi wa kura siyo?
Basi tufanye wewe unajua kila kitu na upo sahihi.
 
Kwa Trump kuwahimiza wafuasi wake wavamie Congress ili isimpitishe Biden kuwa Rais, je Trump anaweza kushitakiwa kwa uhaini?
Wanasheria tupeni maoni yenu kwa hili.
Naomba unioneshe manano aliyosema kuwahimiza watu wafanye vurugu

Yani nachukiaga sana kuona watu mnakuwa nrain washes kirahisi hivi, tumshukuru raisi wetu magu sio mtu wa kubrain wash kirahisi lasivyo tungekua lockdown saizi

Tumia akili yako, sio kila unachoambiwa unakiingiza tu bila kutafakari
 
Wasiwasi wangu, Democrats watauza codes za anapatikana vipi then walio apa kulipiza kisasi cha Qasem Soleiman wata mu assasinate
 
Kihistoria wamarekani Wana Linda Sana. ma Rais wao hata wakishamaliza urais
 
Naomba unioneshe manano aliyosema kuwahimiza watu wafanye vurugu

Yani nachukiaga sana kuona watu mnakuwa nrain washes kirahisi hivi, tumshukuru raisi wetu magu sio mtu wa kubrain wash kirahisi lasivyo tungekua lockdown saizi

Tumia akili yako, sio kila unachoambiwa unakiingiza tu bila kutafakari
kama huna jibu pita tu! education qualification? maana muda mwingine
 
Nimepata fursa ya kuzungumza na jamaa yangu mmoja yupo huko jambo la ajabu Sana ambalo amelizungumza ingawa Sina uhakika nao Sana ni ;

1. Kura zimeibiwa kweli.

2. Trump kafanya reforms nyingi Sana kwa muda mchache aliokaa Ikulu ya marekani zaidi ya Rais mwingine kwa kipindi cha karne moja iliopita.

Anyways waliopo huko wanajua zaidi ya sisi tulioko hapa.
Marekani sio kama Afrika,huwezi iba kura ukaangaliwa,isitoshe mfumo wa uchaguzi wa Marekani ni tofauti na wa kwetu majimbo ndio yanafanya uchaguzi, na majimbo yamegawanyika yapo ya Democratic na mengine ya Republicans, Biden ameshinda mpaka majimbo ya Republicans.
Isitoshe Trump analalamikia wizi kwenyemajimbo aliyoshindwa tu.
Mfano Georgia, Kura zimehesabiwa mara 3, pia ukaguzi wa kura umefanyika hakuna wizi.
Vyombo vya usalama wa uchaguzi chini ya Rais Trump vimethibitisha kuwa uchaguzi huu ulikuwa salama katika historia ya Marekani.
Tatizo Trump alishasema toka mwanzo kuwa akishindwa hawezi kukubali matokeo ndio kilichotokea, lakini pia alimdharau Biden, lakini Intel na Tafiti zote zilionyesha kuwa mtu pekee anayeweza kumshinda.
Dems wote walimwachia Biden halafu wakarudi Kwenye kampeni strategy ya Obama.
 
Nimepata fursa ya kuzungumza na jamaa yangu mmoja yupo huko jambo la ajabu Sana ambalo amelizungumza ingawa Sina uhakika nao Sana ni ;

1. Kura zimeibiwa kweli.

2. Trump kafanya reforms nyingi Sana kwa muda mchache aliokaa Ikulu ya marekani zaidi ya Rais mwingine kwa kipindi cha karne moja iliopita.

Anyways waliopo huko wanajua zaidi ya sisi tulioko hapa.
Very elementary logic, my friend. Kesi zaidi ya 60 katika mahakama mbalimbali ikiwepo Mahakama Kuu iliyokuwa na watu wake. Wote wamesema hakuna ushahidi. ZOTE!
And then, yule mama Powell, mwanasheria kwenye timu ya Trump alidai hadharani kwamba Hugo Chavez wa Venezuela alihusika katika wizi huu. Chavez alikufa mwaka 2013.
Just think about it.
Hakuibiwa, alishindwa. Nilikuwa huko wakati wa uchaguzi na baadae kidogo. Ameshindwa Trump, fair and square. Thank God the nightmare is over.
 
Back
Top Bottom