Money can buy if not love basi opportunity for love hasa kwa wale wanaotafuta wenza.
Tuseme umevutiwa na msichana lakini huna pesa za angalau kumtoa hapa na pale ili kupata nafasi ya kukaa pamoja mkazungumza mkajuana, utafikaje kwenye penzi lenyewe?
Katika Hali ya sasa pesa muhimu angalau kununulia nafasi ya kumjua ulievutiwa nae