Can Myopia be cured bila ya kuvaa miwani

Me nina sioni mbali navaa +3. Tangu 2012 . Sijui kama kuna namna ya kufanya
 
Myopia inaweza kutibika kwa kufanya mazoezi ya macho, mkitaka video nitaiweka hapa.
 
pole mkuu..hilo tatizo huwa kitaalam tunaita refaction error ambapo matibabu yake huwa ni miwani n in special cases hasa kwa wale ambao ni High Myopic ie wanavaa -6 n above kuna room for surgery. hizo habar za karoti c kweli haisadii..pia hata hizo tiba mbadala hazina msaada. shida watu wangu huwa wanapenda toa ushauri wakat hwajui ugonjwa unakuwaje ie pathogenesis/pathophysiology. kubalidilika lens inategemea na age ulivokuwa diagnosed..kwa baadhi ya watu huwa zinachange with time bt wengine huwa stable..ni vizuri kila mwaka uwe unafanya refraction kujua tatizo lipoje na pia kuchk pressure ya macho cos risk mojawapo ya high myopia ni glaucoma (kuongezeka pressure ya macho ambayo mwisho wa cku usababisha upofu)
 

Ahsante mkuu kwa ushaur wako ningependa upitie hii site http://www.myopiaprevention.org/dont_wear.html
 

Hebu toa ufafanuzi wa kwa vipi myopia isababishe glaukoma wakati ni matatizo mawili tofauti?
 
Kuna watu alienda kufanyiwa upasuaji CCBRT ikawa ni upofu kabisa
Kiruu kipofu kabisa mi nilikuwa nasumbuliwa na kichwa na kutokuona mbali dr akanipima akanipa miwani cha kushangaza nikienda kupima tena kuangalia tatizo eti nimeongezeka. Nikaacha kuvaa miwani nikaanza kunywa juice ya karoti na changanya na nanasi tatizo limeniisha miwani sivai tena
 
Hebu toa ufafanuzi wa kwa vipi myopia isababishe glaukoma wakati ni matatizo mawili tofauti?

mkuu hio ni from observationa studies ambapo imeonesha kuwa high myopia iko associated with risk ya kupata glaucoma(primary open angle glaucom)..ila ni namna gani hasa inatokea hapo bado studies hazijaweza ku come up na pathogenesis..google blue mountain eye study
 

Mbona hawajasema kuwa glaukoma inasababishwa na myopia? Wewe unajua maradhi ya macho yapo ya aina ngapi? Unajua astigmatism ni nini? Je nayo inasababisha glaukoma?

Mimi kwa jinsi nilivyosoma maana ya glaucoma ni kuwa mtu anapoteza uwezo wa kuona vitu vilivyoko pembezoni na badala yake anakuwa anaviona vitu vilivyoko mbele tu moja kwa moja, na glaukoma haiji hadi uwe myopia bali unaweza usiwe na matatizo yoyote yale macho ila ukawa na glaukoma. Na glaukoma inawapata watu wazima kuanzia miaka 40 na kuendelea wakati myopia hata watoto wadogo wanaweza kuwa nayo.

Myopia inaweza kutibika kirahisi sana kwa upasuaji lakini wanapendekeza tu utumie miwani kama tiba ya mwanzo kabla ya upasuaji.

Kuhusu matibabu ya dawa naweza kukwambia kuwa hospitalini hakuna dawa ya kutibu myopia wala glaukoma zaidi ya ile ya upasuaji tu.

Myopia unaweza kutibu kwa njia asilia kama mazoezi ya macho(eye exercise), dawa za mimea kama kwa kina Dr ndodi na herbal chlinic mbalimbali zinazotoa huduma hizo, vile vile kutumia vyakula kama alivyosema mdau mmoja kwenye hili jukwaa kuwa alikuwa anavaa lens kubwa ila akawa anakula sana salad ya matunda mchanganyiko na mboga za majani hadi kupelekea kuondoa tatizo.
MziziMkavu anaweza kusema zaidi
 
Last edited by a moderator:

mkuu ungekuwa umepita medical school ungenielewa naposema risk factor in relation na diseases. kuhusu glaucoma kwanz inawapata hata watoto cheki congenital glaucoma. hio unayosema kuwa mtu anapoteza uwezo wa kuona vitu vya pembeni kitaalamu tunaita loss of visual field ambayo kawaida ni 180..na ni dalili tu ila what happens ni kuwa pressure ndani ya jicho inaongezeka na hivyo kuleta athari kwenye optic nerve..na glaucoma matibabu yake c upasuaji tu..pia wakat mwingine kutegemea ni aina gani ya glaucoma ie is it congenital or open angle or closed angle pia kuna matibabu ya dawa kwa ajil ya kupunguza pressure..kuhusiana na myopia ni kweli kwa hospital matibabu ni either miwani o upasuaji ila kuhusu hizo tiba asili i cant comment inawezekana zinatibu bt binafsi cjwahi kutana na mgonjwa ambaye ni myopic na amepona na hizo tiba asili
 

Unadhani hizi clinic za tiba mimea zinaongopea?
 

piga no hii kwa msaada 0715167030
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…