Lazima maandamano yafanyike na hii iwe kwa pamoja kwa waanamageuzi wote Chadema Cuf na iwe nchi nzima tena sasa ili kuzuia huyu Jakaya na uropokaji wake nchi hii sio mali ya mama yake wala familia yake hawezi kutisha wananchi wakati akijua kwamba yeye ni amri jeshi mkuu kwa nafasi yake ya uraisi,KIKWETE ni mchochezi wa vita periodhata wangefanyaje mwaka huu JK kushinda ni ndoto..kaanza kuropoka huko songea eti oooh nchi itamwaga damu..hahaaaaa ..zoea tu mbona hata Moi ,Kaunda ilikuwa hivo hivo.utazoea tu mambo ya kufanya yapo mengi mbona hata kuimba unaweza kipaji unacho mzee
This is one of the dirtiest propaganda. Last two weeks SYNOVATE claimed that they werenot asked questions regarding this year election. This was as a repply to chadema claimes that as per SYNOVATE research resurts chadema's candidate lead by 45%. After that REDET come out wish their report as per questionares distributed to Ten cells and CCM members (wakerereketwa).Kweli REDET wamebobea kwa uongo, kwa akili ndogo tu hivi kweli Daily News linaongoza kwa kusomwa sana na watu,vijijini au mijini? hapa tu inadhihirisha kuwa utafiti umefanyika maofisini hasa ofisi za serikali na hii inanifanya nitilie mashaka utafiti wao kama ni wa kweli au wa kubuni na kufurahisha watu wao.
Utafiti unatakiwa uendane na hali halisi iliyopo huwezi kusema utendaji wa serikali unaendelea vizuri wakati huohuo unasema 2/3 ya wabunge wao ambao ndio wanaunda serikali wameonekana hawatarudi maana yake hawafai, I believe in research but I dont trust every research.