Can someone lend me 200k?

kwani kujiajiri kunaanzia sh ngap kaka?
Unataka kujiajiri vipi kwanza? Kama ni formal business hiyo laki mbili itaishia Manispaa na TRA pekee.. Tena yaweza hata isitoshe. Kama ni informal labda ufanye za uchuuzi na udalali.. Ununue nyanya Mabibo uuze Tegeta..

Wanasiasa na wanaojiita wajasiriamali wasiwadanganye kujiajiri ni kitu rahisi kiivyo...
 
Hebu toa mchanganuo wa hiyo biashara utakavyo iendesha kwa 200,000 na faida yake, usione aibu ukitoa tu mchanganuo nikaridhika nitakuagiza uni pm jinsi ya kukupatia sio kukukopesha hicho kiasi.
 
Heshima yako boss wangu...

What I meant is, she is focused na anajua anachokifanya. 200k kwa watu 20 ambao possibly anaweza kuwapata humu ni 4 Million. Sasa jinsi ya kuwaaccomodate hao watu 20 ndiyo shida. Swali langu lilikuwa la mtego flani hivi...
Heshima yako. Umeona mbali zaidi.
 
Hebu toa mchanganuo wa hiyo biashara utakavyo iendesha kwa 200,000 na faida yake, usione aibu ukitoa tu mchanganuo nikaridhika nitakuagiza uni pm jinsi ya kukupatia sio kukukopesha hicho kiasi.
Maybe nikufafanulie pm.hapa kuna wale mazuzu wataanza kunikoromea
 
I hope utapata hiyo pesa tatizo la wabongo sisi uaminifu 0
Mtu unampa pesa vizuri kwenye kulipana mnaishia kuwa maadui
i hope so...na nina uaminifu 100%
sina nia ya kumpiga mtu hela wala sijawahi..na tutaandikishana mkataba na hata wakiwa watano si mmoja ..si kila mmoja atapata pesa yake kutokana na makubaliano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…