Can someone lend me 200k?

Najaribu kuwaza tu hapa,hivi bahati mbaya huu uzi angeuanzisha mtoto wa kiume{japo hatuna uhakika kama huyu ni wa kike au wa kiume}huku kujali kwa upande wake kungekuwepo kweli?!maana hapa mara njoo Pm,mara uko wapi yaani alimradi watu wana hamu ya kumsaidia!sawa wakuu nendeni mkanyonywe damu.
 
Watakufanya na hela za kukupa pia hawana; shauri yako;
watanifanya nini mam??? mi sio fala au mtoto niingie chumbani na mwanaume nkijua nia yake.na wala sijawah kumpa mwanaume uchi wangu for money..
nimpe uchi nimeomba pesa ya kuhongwa hapa?
 
[emoji23] [emoji23]
 
Bahati mbaya mimi sio someone.
 
Kweli waya mkali....Dada unaomba lakimbili hujui kuna mabazazi hapa au ndo staili mpya yaa uuzaji kujidai kama huuzi ..
 
MPAKA MUDA HUU LAKI MBILI HAIJAPATIKANA TU AU UMEGOMA KUTOA MREJESHO
 
Njoo pm. Bila shaka nitakupa
 
Kweli waya mkali....Dada unaomba lakimbili hujui kuna mabazazi hapa au ndo staili mpya yaa uuzaji kujidai kama huuzi ..
majority ya watz tunawaza ngono tuu..ndo mana maisha yanazid kuwa magumu...ukiamka ngono...usiku ukiingia ngono...ukilala ngono...mchana kazini pc mnaperuz mambo ya ngono...
ndo mwisho wake akili zinatawaliwa na ngono 100% kama wewe.
pole sana
sio kila anaeomba hela anajiuza na pia cjataka jinsia humu so hata dada zangu wanaweza kuwa sehem ya msaada wa huu mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…